Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
Jamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga chini arudi kwao akajifunze,vaa uso wa dume la mbuziJamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
Dah...kila akileta ishu mpya mgonge...atakuwa mpole tu [emoji4]Yani una settle ishu baada ya muda tena anaibuka na jipya
tafuta hela kaka ! hela ni suluhisho la mambo yote homeMwanamke kwa vile ni mzuri basi akitongozwa huko nje nyumbani full dharau. Full kukutoa kasoro na kuomba kuachana. Yani amani ya nyumbani sio guaranteed. Leo hii mnaweza kuwa na amani na baada ya hapo amani imekwisha.
Sio kwelitafuta hela kaka ! hela ni suluhisho la mambo yote home
unaweza kuwa na hela sawa je unampa? unamspoil? au wewe mchaga zote zinakaa kwenye kiboboSio kweli
unaweza kuwa na hela sawa je unampa? unamspoil? au wewe mchaga zote zinakaa kwenye kibobo
kwani nimesemaje? unajua kumspoil mtu?Mwanamke apewei hela. Kwasababu ajui kutumia hela.
Mwanamke ananunuliwa vitu vya thamani.