naomba kujuzwa, kwani kila muimbaji ana uezo wa kuimba high pitch notes?
asali inasaidia
Kula mayai mabichi
Mkuu hayo mayai unayala kwa muda gani na kwa wakati gani na kiasi gani?
Na mm naomba kujuzwa mm in mwimbaji Wa Kwaya sauti yanne nitumie njia gani ili sauti yangu iwenzito kwenye uimbaji?Yai moja asubuhi na jioni Mkuu