Dawa ya kufungua sauti

Dawa ya kufungua sauti

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Dokta mimi ni mwimbaji wa gospel! Ila ndo naanza anza, Sasa kuna wakati napata taabu katika kuimba sauti ya juu (high pitch), kitu ambacho sikipendi,.

Yani ile unaimba halafu kwenye sauti za kupanda sauti inakata. Mi natamani sana iwe inafunguka ili ndoto zangu zitimie.

Je, kuna dawa?

Au nitumie vyakula gani?
 
kirikou
ungewatafuta wakufunzi wa Music,hawa watakusaidia vizuri,Unaweza ukaenda THT center (kama upo Dar)ukaomba namba ya mkufunzi,Utapewamaelekezo mazuri tuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom