Dokta mimi ni mwimbaji wa gospel! Ila ndo naanza anza, Sasa kuna wakati napata taabu katika kuimba sauti ya juu (high pitch), kitu ambacho sikipendi,.
Yani ile unaimba halafu kwenye sauti za kupanda sauti inakata. Mi natamani sana iwe inafunguka ili ndoto zangu zitimie.
Je, kuna dawa?
Au nitumie vyakula gani?
Yani ile unaimba halafu kwenye sauti za kupanda sauti inakata. Mi natamani sana iwe inafunguka ili ndoto zangu zitimie.
Je, kuna dawa?
Au nitumie vyakula gani?