teddy mulokozi
Member
- Apr 29, 2018
- 22
- 6
Huku ni kunyanyasa mtoto mahondaw wewe jamani[emoji23]Pitisha kwenye nyasi Ile alfajiriiiii. Zisiwe ndefu sanaaaa. Wewe mshike mkono tu huku unamvuta mwenyewe atanyanyua miguu
Cc Smart911
Asubuhi na mapema mtoe nje mchape miguuni na chelewa..ila angalia usimuumizeHabar zenu walezi wenzangu naomba mnisaidie dawa ya kienyej ya mtoto kutembea
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna watu hapa wa kuomba ushaurii.....wote ni crzy...Asubuhi na mapema mtoe nje mchape miguuni na chelewa..ila angalia usimuumize
Me crazy+ you crazy=wote ni crzy[emoji23][emoji23][emoji23] hamna watu hapa wa kuomba ushaurii.....wote ni crzy...
Mpeleke kwa watu wazma bibi zake au babu zake watakusaidia vizur..hawa watu nawaamini sanaa unless kuwe na shda nyingne ya ziada ila hilo watakusaidia
Mnazingua katk vitu siriuas mkuu.....sio kila tym ni jokeMe crazy+ you crazy=wote ni crzy
Aliekuambia hiyo ni joke nani?Mnazingua katk vitu siriuas mkuu.....sio kila tym ni joke
Fuvk.... overAliekuambia hiyo ni joke nani?
Umri?Habar zenu walezi wenzangu naomba mnisaidie dawa ya kienyej ya mtoto kutembea
WazimuFuvk.... over
KubagaduMtengenezee vile vibajaji vya mbao awe anaendesha
Huku ni kunyanyasa mtoto mahondaw wewe jamani[emoji23]
Asubuhi na mapema mtoe nje mchape miguuni na chelewa..ila angalia usimuumize