Dawa ya kumfanya mtoto kutembea

Dawa ya kumfanya mtoto kutembea

Kuna wadudu flani wanafanana na siafu,mikoa ya kanda ya ziwa ni wengi.Unachukua mdudu mmoja unamsugua mtoto kwenye unyayo na mtoto hakawii kutembea
 
Asubuhi na mapema mtoe nje mchape miguuni na chelewa..ila angalia usimuumize
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna watu hapa wa kuomba ushaurii.....wote ni crzy...

Mpeleke kwa watu wazma bibi zake au babu zake watakusaidia vizur..hawa watu nawaamini sanaa unless kuwe na shda nyingne ya ziada ila hilo watakusaidia
 
Me crazy+ you crazy=wote ni crzy
 
Mtengenezee vile vibajaji vya mbao awe anaendesha
 
Mkuu Mimi nakushauri huyo mtoto mpeleke kwenye huduma za kiroho akaombewe anapona bila shida cha msingi uwe na imani tu, achana na waganga watakupotezea muda,
 
Acha kumbemenda mtoto ...atakuwa atembei mda mrefu
 
Ana umri gani

Mzoeshe kutembea na vitu kama meza ukuta usizoe kumbeba sana. Wahenga wanasema kama umebeba mimba nyingine anaweza kuchelewa kutembea
 
Back
Top Bottom