Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

Mapenz yanatesa sana ila amini nakwambia wewe unaweza ukachukulia poa kwazo ambalo umemkwaza ila kwake yeye akachukulia nikitu kikubwa Sanaa so usipende kudharau kosa lolote unalomkosea mwenzako.

Mimi nipo kwenye mahusiano, mwenzangu mara nyingi ananikwaza kwavitu ambavyo yeye katika kuomba msamaha anachukulia poa sana namara nyingi ananishangaa vile navyopanic kwainshu ambayo yeye anaichukulia poa sana ila kwaupande wangu hali huwa nitofauti sana yaani roho huwa inaniuma sanaa mpaka kufikia hatua yakutamani kuvunja mahusiano ila napojaribu kufanya hivyo mwenzangu anabaki ananishangaa yaani inshu ndogo kama hii ndio uniache?? Me namwambia ndio ila namkaushia namwambia ipo siku utokuja kuamini kama penzi letu litafika kikomo kwasababu kama hizi au zakufanana nahii...

Ushauri wangu, huyo jamaa yako hana hatia ila ninachokiona kwako nikuishi kwamazoea, mtu unamkosea mara nyinginyingi makosa yaleyale kwakuyadharau nakuyaona niyakawaida sana ila kiuharisia yanamuumiza mwenzako. Endapo akirudi katika himaya yako jitahidi muishi bila kukwazana.

Kwanza mimi mtu anaye nikwazakwaza kila mara hata nyege nae huwa sina kabisaaaaa Sasa nitakuwaje namtu wahivyo.

Alafu wanawake mnajuaga kosa kubwa ambalo mwanaume anaweza kukuacha nikumcheat tuuuu... Wala sio yapo mauzi madogomadogo mengi sana jaribuni kujirekebisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepiga mulemule mkuu,mm wangu haya haya uliyoeleza ndo yamefanya nivunje mahusiano,yaan unamrekebisha leo kesho au masaa kadhaa mbelen anarudia hayo hayo,ikabid nimwambie tu ajiongeze tu mwenyew,kiufup wapo madem wana dharau sanaa alafu mwsho wa cku wanakuja kulia lia huku
 
Kama Una X wako ambaye una hisi bado una mpenda na una taka mrudiane au arudi kama zamani uwe naye
Fanya hivi

Tafuta tafuta karatasi hizi za kuchorea na mshumaa wa rangi nyekundu

Kwenye ile karatasi wewe andika jina lako la kwanza na la pili la kwako. Jina lake la kwanza na la pili la mwanamke. Andika sababu ambazo zilipelekea ninyi kuachana na kama ni yeye kule mwisho wewe andika nataka uniombe msamaha. Kama ni wewe andika nataka anisamehe Upande mwingine wa karatasi wewe andika unavyo jisikia baada wewe kuachana na yeye na andika sababu kwanini huwezi ku movie on bila yeye

Cha kufanya ni hivi usiku wa ijuma na saa sita za usiku chukuwa mshumaa una washa ukisha washa

Una chukuwa ile karatasi una jikata Na wembe ile damu yake una pakaa kwenye pembe 4 za ile karatasi na katikati
Alafu una kunja kama sigara ukisha kunja unawasha ile karatasi na moto wa mshumaa uku ukitamka maneno haya

Ninakuomba Venus, mungu wa upendo, Venus ambaye hutoa furaha ya upendo, tafadhali. Fanya (jina la mtu) anipende, upendo wetu uwe safi na wa milele.

Utakuwa una tamka maneno hayo mpaka pale ile karatasi itakapo malizika

Alafu Utakuja kunishukuru

Kama una Tata kumrudisha mwanamke huyo kwa tamaa zako binafsi my bro usifanye ivo maana utakuja kujutia baadae
 
Kwani papuchi yake ina almasi kuwa kila nikizama nikichomoa vinatoka vipande vya almasi? K zipo za kumwaga kama mchanga wa bahari.
 
Mchawi hazaliwi nimeamini leo [emoji1][emoji1][emoji1] ngoja watu wajitengeneze wachawi
 
Wachawi na waganga katika kuharibu ndoa za watu.
#Jiandae kuolewa wewe
 
Kuna mkitabu niliwahi usoma unaitwa Forbidden Education mkubwa una page nyingi tu basi kuna vitu viingi kama hivyo na vingine zaidi hata ya hivyo japo nilishindwa ku practice kujua yaliyomo ni kweli au lah?
 
Hahahaaa dah sensa iishe tu shule zifunguliwe. Hizi threads za nyakati hizi sizielewi kabisa.
 
Mshana Jr ndiye atakayekuja kutupa muongozo kamili, akisema tufanye alichokisema mleta mada Basi sawa na akipinga nasi pia tunaghairi.
 
Back
Top Bottom