Mapenz yanatesa sana ila amini nakwambia wewe unaweza ukachukulia poa kwazo ambalo umemkwaza ila kwake yeye akachukulia nikitu kikubwa Sanaa so usipende kudharau kosa lolote unalomkosea mwenzako.
Mimi nipo kwenye mahusiano, mwenzangu mara nyingi ananikwaza kwavitu ambavyo yeye katika kuomba msamaha anachukulia poa sana namara nyingi ananishangaa vile navyopanic kwainshu ambayo yeye anaichukulia poa sana ila kwaupande wangu hali huwa nitofauti sana yaani roho huwa inaniuma sanaa mpaka kufikia hatua yakutamani kuvunja mahusiano ila napojaribu kufanya hivyo mwenzangu anabaki ananishangaa yaani inshu ndogo kama hii ndio uniache?? Me namwambia ndio ila namkaushia namwambia ipo siku utokuja kuamini kama penzi letu litafika kikomo kwasababu kama hizi au zakufanana nahii...
Ushauri wangu, huyo jamaa yako hana hatia ila ninachokiona kwako nikuishi kwamazoea, mtu unamkosea mara nyinginyingi makosa yaleyale kwakuyadharau nakuyaona niyakawaida sana ila kiuharisia yanamuumiza mwenzako. Endapo akirudi katika himaya yako jitahidi muishi bila kukwazana.
Kwanza mimi mtu anaye nikwazakwaza kila mara hata nyege nae huwa sina kabisaaaaa Sasa nitakuwaje namtu wahivyo.
Alafu wanawake mnajuaga kosa kubwa ambalo mwanaume anaweza kukuacha nikumcheat tuuuu... Wala sio yapo mauzi madogomadogo mengi sana jaribuni kujirekebisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app