Dawa ya kunenepesha makalio

leirilwa

Senior Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
118
Reaction score
22
Jamani habari zenu!

Kichwa cha husika, anayejua dawa ya kunenepesha makalio anipatie na mseme na side effect zake.
 
unataka ututeke wanaume???ukishajua bei ya hiyo dawa andaa na ela ya kwenda kujitibu saratani aka cancer,,, mbn wanaumw atutishwi na hzo mivimbe,,,jikubali ulivo
 
Wengine wanashindilia mpaka industrial cement na super glue. Nenda kwenye duka lolote la mangi hapo jirani ukaulizie. Mabinti wengi wameshapoteza maisha kutokana na infection na nerve damage. Jipende. Jiamini na please usiukosoe uumbaji wa Mungu sana sana kama unataka kupendeza mitaani nunua zile bukta zenye padding nyuma. You are perfect and beautiful as you are.
 
Every woman is beutiful in her own way.God never makes mistake
 
Watu wanapenda makalio wanaume mnawafanya wanawake wamkosee Mungu
 
Do squats maa. I can buy yoga pants for you....
I also can pay gym fee for you . Why medics ?
 
Hapa kuna watu wanapondea kimya kimya huku wanasubiri majibu.
 
Watu wanapenda makalio wanaume mnawafanya wanawake wamkosee Mungu


Makubwa ya nini? mimi size hii hapa yantosha kabisa. sie watu wa acrobatic hatutaki mavitu makuuuubwa
 

Attachments

  • stock.jpg
    10.2 KB · Views: 1,660
Njoo pm pls nitakuoa ukiwa hivyo hivyo bila kalio. Mm haya makubwa siyapendi hata kidogo
 
unataka ututeke wanaume???ukishajua bei ya hiyo dawa andaa na ela ya kwenda kujitibu saratani aka cancer,,, mbn wanaumw atutishwi na hzo mivimbe,,,jikubali ulivo

Tafuta product za NAOMI hapa dukani kwangu zimeisha ila nimebakiwa naza matiti tu. Ni bidhaa zisizo na madhara kwani zimetengenezwa kwa mimea asilia. Zinatengenezewa Canada.
 

Attachments

  • 1448024931784.jpg
    58.4 KB · Views: 847
Njoo nikugee mwayego langu labda utasaidika kuondoa flat screen
 
Duh, kula pilipili kwa wingi, na tafuna mbegu za ubuyu zilizokaushwa kwa mwaka mmoja. Ni tiba bora kabisa ya makalio madogo/pasi.

Wengi wamepona.
 
Ingia Instagram mtafute Sun_clinic anazo dawa za kuongeza mpododo.
 
Pamoja na effects zinazooneshwa bado tu kuna watu mnataka dawa..... Kweli makalio ndo habari ya mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…