Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani habari zenu!
Kichwa cha husika, anayejua dawa ya kunenepesha makalio anipatie na mseme na side effect zake.
Watu wanapenda makalio wanaume mnawafanya wanawake wamkosee Mungu
Jamani habari zenu!
Kichwa cha husika, anayejua dawa ya kunenepesha makalio anipatie na mseme na side effect zake.
KakaJambazi kuna kipindi uliniambia umeokoka!Makalio bila kutoa tgo hayana dili.
unataka ututeke wanaume???ukishajua bei ya hiyo dawa andaa na ela ya kwenda kujitibu saratani aka cancer,,, mbn wanaumw atutishwi na hzo mivimbe,,,jikubali ulivo