Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
kwani anataka nini l;abda mie sijamwelewa vizuri hbu nieleweshe
suicide...ajiondoe nguvu za kiume eti wife kamuudhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani anataka nini l;abda mie sijamwelewa vizuri hbu nieleweshe
suicide...ajiondoe nguvu za kiume eti wife kamuudhi
nop,maelezo yake na kichwa cha habari ni tofauti,ukisoma vizuri maelezo yake utagundua anahitaji dawa ya kuongeza nguvu za kiume nadhani amepitiwa tu kwenye heading
hajapitiwa heading, Soma post yake paragraph ya pili utaona ujinga ulio kichwani mwake....."
Sina kinyongo kwa hilo na ndio sababu naomba dawa itakayonifanya uume wangu usisimame tena ili nisifanye tendo hilo kabisa ili niishi kwa amani nayekwakuwa halidhiki awe huru kuridhishwa na mwingine na tutaendelea kulea watoto wetu"
kwani anataka nini l;abda mie sijamwelewa vizuri hbu nieleweshe
Ndugu hebu soma hiyo post kwanza....inaonesha ndo umetoka kuamka haujui kinachozungumziwa
Badilisha kichwa cha habari umekosea kuongeza nguvu sio kuondoa nguvu alafu rudi tukupe mawazo
Badilisha kichwa cha habari umekosea kuongeza nguvu sio kuondoa nguvu alafu rudi tukupe mawazo
inasikitisha mke unaye ndani ukimuomba anakataa na inakubidi ujichue bafuni walau uwe sawa kisa kuwa mkifanya mapenzi hatosheki.badala ya kutafuta msaada utakaokufanya urudi katika urijali..wewe unataka kuwa h.anithi?
Seriously? Please rephrase your post...
Kula vizuri, fanya mazoezi na jiamini tu... mzizimkavu tafadhali msaidie huyu ndugu