Dawa ya kuondoa nguvu za kiume

Dawa ya kuondoa nguvu za kiume

suicide...ajiondoe nguvu za kiume eti wife kamuudhi

nop,maelezo yake na kichwa cha habari ni tofauti,ukisoma vizuri maelezo yake utagundua anahitaji dawa ya kuongeza nguvu za kiume nadhani amepitiwa tu kwenye heading
 
nop,maelezo yake na kichwa cha habari ni tofauti,ukisoma vizuri maelezo yake utagundua anahitaji dawa ya kuongeza nguvu za kiume nadhani amepitiwa tu kwenye heading

hajapitiwa heading, Soma post yake paragraph ya pili utaona ujinga ulio kichwani mwake....."
Sina kinyongo kwa hilo na ndio sababu naomba dawa itakayonifanya uume wangu usisimame tena ili nisifanye tendo hilo kabisa ili niishi kwa amani nayekwakuwa halidhiki awe huru kuridhishwa na mwingine na tutaendelea kulea watoto wetu"
 
i got it thanks kwa ufafanuzi,basi huyo jamaa bogas kabisa
 
Kosalako kuandika kichwa cha habari nyengine madanyengine sometimes kuamakini naunacho andika kwasababu kichwa cha habari naitaji dawa ya kuondoa nguvu zakiume tunashindwa kukupajibu linalositairi cause ujaeleweka jipange.
 
Badala ya kutafuta msaada utakaokufanya urudi katika urijali..wewe unataka kuwa h.anithi?

Seriously? Please rephrase your post...

Kula vizuri, fanya mazoezi na jiamini tu... MziziMkavu tafadhali msaidie huyu ndugu
 
Mi nahisi anatujaribu huyu hayupo serious, ila w.me wa siku hizi bana nguvu haswa hamna mna matamanio tu😛
 
ha ha ha....hajakosea mkuu, yeye anataka kuiondoa kabisa hata hiyo kdogo aliyonayo ili mkewe ajue kabisa kwamba jamaa hana uwezo tena kabisa ili asimsumbue kwa kumwambia hamridhishi. huyu jamaa kwa haraka haraka inaonekana ni mtu ambaye yuko busy sana na anawaza mambo yake ambayo kwa namna moja au nyingine yanampasua kichwa hivyo hata hamu ya kuwaza kufanya hilo tendo hana kutoka na na uchovu au msongo wa mawazo au majukumu, wakati mkewe anaonekana bado genye mshindo. cha msingi ni kutenga siku au muda-piga mechi moja ya uhakika bibie anabaki kuugulia uchovu na maumivu ya viungo na mwili kwa wiki kadhaa.
Badilisha kichwa cha habari umekosea kuongeza nguvu sio kuondoa nguvu alafu rudi tukupe mawazo
 
badala ya kutafuta msaada utakaokufanya urudi katika urijali..wewe unataka kuwa h.anithi?

Seriously? Please rephrase your post...

Kula vizuri, fanya mazoezi na jiamini tu... mzizimkavu tafadhali msaidie huyu ndugu
inasikitisha mke unaye ndani ukimuomba anakataa na inakubidi ujichue bafuni walau uwe sawa kisa kuwa mkifanya mapenzi hatosheki.
 
chukua yai la kenyeji toa kile kiini cha ndani weka kwenye kikombe changanya na asali kama robo kikombe hivi, koroga huo mchanganyiko kisha kunywa mara2 kwa siku.
 
Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi. Onana na wataalamu.
 
Back
Top Bottom