MizimuUpagani wanamuabudu nani
Upagani hawaamini katika dini yeyeto ikiwemo mizimuMizimu
Wapagani ndio dini halisi kabla ya hizi leo na wanaabudu Mizimu ya Mababu ancestors worshiping na ibada zao ni matambiko.Upagani hawaamini katika dini yeyeto ikiwemo mizimu
Kwan zile dini za mababu zetu zilikuwa na matatizo Gani, mpaka Waka ziita za kisheziWapagani ndio dini halisi kabla ya hizi leo na wanaabudu Mizimu ya Mababu ancestors worshiping na ibada zao ni matambiko.
Tafuta thread inayoitwa maisha na falsafa yake hiyo nayo ni kweliBig up batiii;
Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.
Mithali 23:23
Hekima na mafundisho na ufahamu ndio KWELI.
Yohana: 17;3 uwatakase kwa ile kweli, NENO lako ndio kweli.
KUMBE Neno ndo hiyo kweli ambayo inampa mtu HEKIMA, MAARIFA na UFAHAMU.
sasa mkuu tukiweka biblia/ Quruan kando hiyo kweli itatoka wapi.
Kwa hiyo hiyo miungu wa hivyo vitabu kwanini hawawezi kuwaadhibu Waha viongozi washenzivyenyewe ni kweli ila wanaoapa hawajui kweli