Dawa ya kuondoa udini yapatikana

Dawa ya kuondoa udini yapatikana

Upagani hawaamini katika dini yeyeto ikiwemo mizimu
Wapagani ndio dini halisi kabla ya hizi leo na wanaabudu Mizimu ya Mababu ancestors worshiping na ibada zao ni matambiko.
 
Wapagani ndio dini halisi kabla ya hizi leo na wanaabudu Mizimu ya Mababu ancestors worshiping na ibada zao ni matambiko.
Kwan zile dini za mababu zetu zilikuwa na matatizo Gani, mpaka Waka ziita za kishezi
 
Ivi vile vitabu vya dini wanavyotumia kuapa ni vya kweli ? maana si Kwa ushenzi huu unao fanyika Serikaln
vyenyewe ni kweli ila wanaoapa hawajui kweli
 
Big up batiii;

Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.
Mithali 23:23

Hekima na mafundisho na ufahamu ndio KWELI.

Yohana: 17;3 uwatakase kwa ile kweli, NENO lako ndio kweli.


KUMBE Neno ndo hiyo kweli ambayo inampa mtu HEKIMA, MAARIFA na UFAHAMU.

sasa mkuu tukiweka biblia/ Quruan kando hiyo kweli itatoka wapi.
Tafuta thread inayoitwa maisha na falsafa yake hiyo nayo ni kweli
 
Wenzio walishasahau ukweli unafananaje.
Wanafungua kikao na Mungu kisha wanajadili uongo na kufunga na Mungu.
Kuapa ni kama kuhusisha msg isiyo husika ku buy trust ya watu.
 
Back
Top Bottom