dawa ya kuongeza ashiki

dawa ya kuongeza ashiki

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
habari zenu,

baada ya kumaliza chuo nimepata mpenzi ambaye nategemea hivi karibuni tutafunga pingu za maisha.
Tatizo analolalamikia ni kuwa huwa hasikii hamu ya mapenzi,baada ya kushauriana tumeamua tutafte dawa au njia zitakazomfanye asikie hamu.

kwa kuwa wataalam humu wamo,tupeni ushauri ni kinywaji gani,chakula gani au dawa gani ale kabla ya kukutana ili aongeze hamu?
 
haaa haaaa kweli mapenzi yanarun dunia yaani hadi mnatafuta dawa? subiri wataalamu waje
 
habari zenu,

baada ya kumaliza chuo nimepata mpenzi ambaye nategemea hivi karibuni tutafunga pingu za maisha.
Tatizo analolalamikia ni kuwa huwa hasikii hamu ya mapenzi,baada ya kushauriana tumeamua tutafte dawa au njia zitakazomfanye asikie hamu.

kwa kuwa wataalam humu wamo,tupeni ushauri ni kinywaji gani,chakula gani au dawa gani ale kabla ya kukutana ili aongeze hamu?

kama mpenzi wako ni mwanamke nipatie kwa siku mbili nijifungie nae ndani alafu atakuja kukupa majibu hapa nina uzoefu na hiyo kazi 8years .
 
Tafuteni picha za pila muangalie, nazo zinaleta ashki..
 
Pole sana Mkuu isije kuwa Beki zako hazikabi vizuri ,unaweza kuta anawake kona anae mmaliza genye zote
 
Jamani mimi ninapata shida sana ninapo sikia eti kijana amemaliza chuo anataka kuoa au kuolewa na anataka dawa za kungeza nguvu za kiume au ashiki shida iko wapi? sisi old scholars tangia tumalize chuo mwaka 1947 wakati CRDB inaitwa LAND BANK mpaka sasa tunapiga mzigo kama kawaida na wala hatuhitaji nyongeza ya dawa kunanini watoto wadogo kuanza kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume au ashiki? hamjui kuwa baadae miili yenu itakuwa tegemezi yaani itashindwa kabisa kuamka mpaka utumie dawa? aliye waambia mapenzi ni vita ni nani? sasa sikilizeni ashiki haitafutwi kwa dawa ila kwa kumuandaa mwenzi kwa mbinu na muda wa kutosha mpaka atapata ashiki tu vinginevyo awe mlemavu na kingine ni psychology , je yuko tayari kwa hicho kitendo au amekurupuka na anafikiria nyumbani wanamtafuta au kuna mtu anampenda zaidi yako na anahisi anamsaliti au kuna kitu huja mfurahisha na ameweka mbali hisia zake kwako. Acheni kufikiria madawa.
 
Tafuta Tego la kuzuia asitombwe Nje utashangaa 'anapona' Ghafla!
 
kila mtu awe anatembea na kitabu cha maandiko matakatifu ya Mungu mkononi. Mtapata ashki tu mkija oana.
 
Back
Top Bottom