papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 101
habari zenu,
baada ya kumaliza chuo nimepata mpenzi ambaye nategemea hivi karibuni tutafunga pingu za maisha.
Tatizo analolalamikia ni kuwa huwa hasikii hamu ya mapenzi,baada ya kushauriana tumeamua tutafte dawa au njia zitakazomfanye asikie hamu.
kwa kuwa wataalam humu wamo,tupeni ushauri ni kinywaji gani,chakula gani au dawa gani ale kabla ya kukutana ili aongeze hamu?