tingetinge2
Member
- Oct 15, 2016
- 32
- 15
Korodan zipo na mzigo nakula fresh tu cna tatizo kweny nguvu za kiumeOgan aina ya Kolodani/ au pumbu hunazo??
Inawezekana hata hayo ya bafuni hayana nguvuPole sana kijana mwenzangu,hapa ndo tunapopata funzo la imani kijana kama we unahangaika kupata mtoto lkn mungu hajakujaalia lkn kuna lingine saa hii lipo bafuni linarusha tu masperm litre nzima
Asant San ila mm hua natumia chai ya mdalasin na tangawiz .Nitafuata ushaur wako.Ilikuwa niku pm lakini nimeona nikuelekeze hapahapa na kama kuna wengine wana tatizo inaweza kuwasaidia pia.
Hii ni tiba ya asili.
Elewa kuwa process yake ni ya muda mrefu, inaweza ikachukuwa miezi mitatu mpaka mwaka, ila usikate tamaa na ufate maelekezo.
Anza kwa kunywa maji ya mdalasini kwa siku zisizopunguwa 45, glass moja kubwa kabla hujala kitu asubuhi, mchana kabla ya kula, usiku kabla ya kula, na usiku kabla ya kulala.
Kwa maana utakunywa glass 4 kwa siku.
Tuanzie na hiyo, baadae ntakuletea nini cha kufanya baada ya hapo.
Unikumbushe kupitia hapa hapa.
Zipo nduguOgan aina ya Kolodani/ au pumbu hunazo??
Sawa ndug kwa ushaur wakoUtumie mlenda kwa wingi,madafu kwa wingi mihogo mibichi
Tayar nimeku PMTumia parachichi kama tunda,lakini pia tumia mchanganyiko wa asali na mdalasini,asubuhi upate mayai mawili, pia upate juice ya vitunguu maji.PM for more info
Kwa vyakula ni hivi:-Wadau wa jf najua mara nying hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulan Nina mwak wa2 kweny ndoa cjabahatik mtoto niliwah kupima kipind ch mwak1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm,poor progressive,poor morphology. Cvut cgar clewi .Naomba msaada wa daw na hospital inayoweza kupat matibabu Asanten sana