Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

Ndio hasara ya kutoishi bila mume hii na kuzalishwa mitoto hovyo hovyo na mababa tofauti tofauti tena walevi lzm uwe ni mtu wa kupayukapayuka tu km Mange kimavi
Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango, tulia dozi ikuingie.
 
Kuna kitu kinaitwa macca powder kuna MTU alikua anatangaza kuuza hapa jf.. Ila ukiiona post hiyo tafuta na utumie. Haina madhara unaweza kuigoogle ukaiona mwenyewe. Nchini Peru wanakunywa hadi watoto Ina faida nyingi ikiwemo kuchochea hormones za kiume na kuongeza sperms count na pengine kutibu infertility
Sawa ndugu
 
Ndio hasara ya kutoishi bila mume hii na kuzalishwa mitoto hovyo hovyo na mababa tofauti tofauti tena walevi lzm uwe ni mtu wa kupayukapayuka tu km Mange kimavi

Dah [emoji23][emoji23][emoji23]..!

Nimeshindwa [emoji1544][emoji1544][emoji1544]
 
Wadau wa jf najua mara nying hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulan Nina mwak wa2 kweny ndoa cjabahatik mtoto niliwah kupima kipind ch mwak1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm,poor progressive,poor morphology. Cvut cgar clewi .Naomba msaada wa daw na hospital inayoweza kupat matibabu Asanten sana
Pole sana kijana mwenzangu, mshirikishe Mungu pia kwa uwezo wake unaweza kupata tiba
 
Pole sana kijana mwenzangu,hapa ndo tunapopata funzo la imani kijana kama we unahangaika kupata mtoto lkn mungu hajakujaalia lkn kuna lingine saa hii lipo bafuni linarusha tu masperm litre nzima
Hapo umenena kk
 
Mi nasikitika sana kila nikilala na mwanamke after 14 days ati anamimba cha kushangaza kuna kama wa3 niliwapeleka wakachome sindano na wa5 waliwek njiti(uzaz wa mpango)
Kwang suluhisho ni condom tu
 
Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto

Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .

Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
Mkuu@tingetinge2 Ushauri uliopewa ukiwa kama hauja kusaidia kurudisha Shahawa zako li ziwe na nguvu ya kuweza kuzalisha
nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
INAWEZEKANA UNA FANYA TENDO LA NDOA KILA SIKU SO ILI UPATE MBEGU BORA USIFANYE TENDO LA NDOA KWA MUDA WA SIKU SABA ILI KURUHUSU SPERM TO MATURE THEN ANGALIA TAREHE ZA HATARI ZA MKEO NDIO MKUTANE NI HAYO TU BRO
 
Sawa nitajitahidi
 
Mkuu@tingetinge2 Ushauri uliopewa ukiwa kama hauja kusaidia kurudisha Shahawa zako li ziwe na nguvu ya kuweza kuzalisha
nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Sawa mziz lkn naona hizo Namba ni za nchi za mble itakuaje na mm Niko Tz
 
Mkuu@tingetinge2 Ushauri uliopewa ukiwa kama hauja kusaidia kurudisha Shahawa zako li ziwe na nguvu ya kuweza kuzalisha
nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

MziziMkavu na tupatie pia elimu, mbinu, tiba etc.. ya kutungisha mtoto wa kiume....maana wengine tumetandika watoto wa kike wanne mfululizo.....
 
Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto

Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .
Mvulana uko kwenye ndoa mwaka wa pili?una umri gani

Back
Top Bottom