Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

Menu diet for you
Karanga mbichi x3 kwa wiki
Korosho x3 kwa wiki
Ugali dona x4 kwa wiki
Nyama ya mbuzi x3 kwa wiki
Ugali wa mtama +muhogo x2 kwa wiki
Parachichi x4 kwa wiki
Ndizi mbivu x3 kwa wiki
Mboga mboga za majani x7 kwa wiki
Mazoezi x3 kwa wiki, kimbia km 2 kwa cku
Kitimoto x1 kwa wiki
Tikiti maji x3 kwa wiki. tafuna mbegu yake
Kunywa lita 1 ya maji masafi kwa siku
EPUKA
Chips
Sambusa, mandazi, kababu
Ugali wa sembe
Tambi
SODA
BIA
Enegy drinks
and all junks food
 
Asant
 
Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto

Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .

Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
Je umewahi kuumwa ugonjwa wa kuvimba na kuuma kwa korodani tangu ubalehe? (Hebu vuta kumbukumbu vizuri)
 
Sperm ziko low .nshitaj ushaur ili ziwe normal km kuna dokt bingwa unaemjua au hat tiba mbadala muhim kwang ni kupat tiba ya tatizo
Zipo kiasi gani?????

Jaribu fertilaids for men

Pia tumia sana maca

Bila kusahau mussels, shrips nk kwani wana zink
 
Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto

Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .

Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
Doesn't make sense you just eat balance diet
 
Pole sana saa nyngne mambo ya uzazi yanatibika kwa mitishamba amini hili
 
Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto

Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .

Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
tiba ipo whatsvapp 0712505049 elfu 20
 
MziziMkavu na tupatie pia elimu, mbinu, tiba etc.. ya kutungisha mtoto wa kiume....maana wengine tumetandika watoto wa kike wanne mfululizo.....
Njia ya kupata Mtoto wa Kiume kutumia siku 24 na 28

Siku zote mtoto wa kiume hupatikana siku Mwanamke ameingia Ovulation/yai limetoka na anahamu sana na Mwanaume kuliko siku zote.(Zile I Miss U zinapokuwa zinazidi)

Sasa Mwanamke unatakiwa umpe Tunda mwanaume siku hiyo ya kwanza. Kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 24 ni siku ya 12 toka alipobleed na Kwa wanawake wa mzunguko wa siku 28 ni siku ya 14 toka alipoanza kubleed. Hizi ni siku za Yai kutoka.

ikumbukwe kuwa mbegu ya kiume Y inawahi kufika kuliko X ndo maana nakushauri hivyo. Na pia Y inawahi kufa kabla ya X. Y inaishi siku 2 mpaka 2.5 wakati X inaishi mpaka siku 3 na 3.5

kwahiyo kama ukifanya siku hiyo Mbegu ya kiume itawahi kufika na kurutubisha Yai mapema. Na kumbuka kuwa Ili kuwe na uwezekano mkubwa wa kufika lazima Mwanamke awe Chini na Mwanaume awe juu wakati wa tendo la Ndoa ili kuleta mseleleko mzuri wa mbegu.

Na siku zote Mwanaume apige magoli mengi ili kuleta sperm count kubwa zitakazoweza kufika kwenye Yai. Na Mwanamme ukae style ya Missionary kwa mda Mrefu wakati uume upo kwenye uke mwishoni kabisa ili kufikia karibu na Cervix.

Note: Mwanaume anatakiwa asimove uume wake wakati amefika kileleni na hakikisha ameuingiza wote.

Goodluck
 
Back
Top Bottom