muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Menu diet for you
Karanga mbichi x3 kwa wiki
Korosho x3 kwa wiki
Ugali dona x4 kwa wiki
Nyama ya mbuzi x3 kwa wiki
Ugali wa mtama +muhogo x2 kwa wiki
Parachichi x4 kwa wiki
Ndizi mbivu x3 kwa wiki
Mboga mboga za majani x7 kwa wiki
Mazoezi x3 kwa wiki, kimbia km 2 kwa cku
Kitimoto x1 kwa wiki
Tikiti maji x3 kwa wiki. tafuna mbegu yake
Kunywa lita 1 ya maji masafi kwa siku
EPUKA
Chips
Sambusa, mandazi, kababu
Ugali wa sembe
Tambi
SODA
BIA
Enegy drinks
and all junks food
Karanga mbichi x3 kwa wiki
Korosho x3 kwa wiki
Ugali dona x4 kwa wiki
Nyama ya mbuzi x3 kwa wiki
Ugali wa mtama +muhogo x2 kwa wiki
Parachichi x4 kwa wiki
Ndizi mbivu x3 kwa wiki
Mboga mboga za majani x7 kwa wiki
Mazoezi x3 kwa wiki, kimbia km 2 kwa cku
Kitimoto x1 kwa wiki
Tikiti maji x3 kwa wiki. tafuna mbegu yake
Kunywa lita 1 ya maji masafi kwa siku
EPUKA
Chips
Sambusa, mandazi, kababu
Ugali wa sembe
Tambi
SODA
BIA
Enegy drinks
and all junks food