Jinsia yako tafadhali, kuna mambo mengi ya kujua kabla hujapata ushauri.
mi mwanaume tafadhali
BMI yako ipo kawaida 24, unataka kupungua zaidi unataka U-miss.
awali nikajua wewe mtoto wa KE.
mazoezi sio kutembea tu, tafuta mazoez mngn yasio kuletea maumivu
Pili: km unahamu ya kula kuwa unakula kiasi kidgo kdgo na bites badala ya heavy meals.
Nasikitishwa sna na tabia yetu wengi ya kupenda dawa kwa ajili ya kila kitu hta visivyo ugonjwa
wakuu nimefata ushauri wenu sana humu umenisaidia kupunguza kilo mbili kwa mwezi mmoja,sasa natumia asali na mdalasini na glasi ya maji ya moto yenye limao,pia sili tena nguruwe wala sinywagi bia nakunywa konyagi.tatizo linakuja ninapofanya mazoez ya kutembea km 5 au zaidi huwa napata maumivu sehemu niliyowahi kufanyiwa surgery ya appendex.please nahitaji kupunguza uzito kwa kasi ili october first niweze kuingia mkataba na kampuni ya matangazo.hivyo mnisaidie dawa itakayonifanya nipoteze hamu ya kula kabisa.sasa nina kilo 71 na urefu ni 171 centimeter.natakiwa niwe na kilo 64 hadi october
mkuu hatuli dawa kwa kupenda
Mwili ukipatiwa chakula kizuri na kwa mpangilio zuri hauhitaji dawa yoyote. Chakula ni dawa kikitumiwa vizuri na tena ni sumu kama dawa zingine zikizidishwa.
piga ephedrine!!!
mkuu hiyo dawa inafanya kazi?