Dawa ya kupunguza hamu ya kula

Dawa ya kupunguza hamu ya kula

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Habari doctors,

Kuna dawa nyingi ambazo mtu na hasa mtoto anapewa kama hana ile hamu ya kula na kigezo ikiwa ni minyoo...so anapewa dawa ili apate hamu ya chakula.

Swali langu ni,
Je hakuna dawa ambayo mtu anaweza kupewa ili hamu ya kula ipungue??? Ukizingatia kuna dawa ya kuongeza hamu ya chakula???
Naombeni msaada wa hiyo dawa kama ipoo jamani..

Thanks a lot doctors.
 
Wakuu nimefata ushauri wenu sana humu umenisaidia kupunguza kilo mbili kwa mwezi mmoja, sasa natumia asali na mdalasini na glasi ya maji ya moto yenye limao, pia sili tena nguruwe wala sinywagi bia nakunywa konyagi.

Tatizo linakuja ninapofanya mazoezi ya kutembea km 5 au zaidi huwa napata maumivu sehemu niliyowahi kufanyiwa surgery ya appendex.

Please nahitaji kupunguza uzito kwa kasi ili october first niweze kuingia mkataba na kampuni ya matangazo.

Hivyo mnisaidie dawa itakayonifanya nipoteze hamu ya kula kabisa. Sasa nina kilo 71 na urefu ni 171 centimeter.

Natakiwa niwe na kilo 64 hadi October.
 
Jinsia yako tafadhali, kuna mambo mengi ya kujua kabla hujapata ushauri.
 
mazoezi sio kutembea tu, tafuta mazoez mngn yasio kuletea maumivu

Pili: km unahamu ya kula kuwa unakula kiasi kidgo kdgo na bites badala ya heavy meals.
Nasikitishwa sna na tabia yetu wengi ya kupenda dawa kwa ajili ya kila kitu hta visivyo ugonjwa
 
mazoezi sio kutembea tu, tafuta mazoez mngn yasio kuletea maumivu

Pili: km unahamu ya kula kuwa unakula kiasi kidgo kdgo na bites badala ya heavy meals.
Nasikitishwa sna na tabia yetu wengi ya kupenda dawa kwa ajili ya kila kitu hta visivyo ugonjwa

mkuu hatuli dawa kwa kupenda
 
Dawa ya kupoteza hamu ya kula ni chakula. Issue ni ule nini wakati gani.(Meal plan) Kuongeza kilo kunatokana na mmeng'enyo mbaya wa chakula poor metabolism. Unapaswa kula vyakula vinavyosaidia mmeng'enyo wa chakula. Kimsingi unapaswa kula chakula kingi huku ukipungua uzito. Mchanganyiko huu unaweza kukusaidia. Asubuhi ule bakuli moja ya matunda mchanganyiko na yai moja. Kifungua kinywa kizuri kama hiki kinasaidia kutopata hamu ya kula mara kwa mara. Ikiwezekana kula kiasi kidogo cha chakula kila baada ya masaa mawili (mostly iwe matunda) Mchana ule bakuli mbili za matunda mchanganyiko ( bakuli la ukubwa wa kati lisiwe kubwa sana kama bakui ya mboga). Usiku (saa 12.00) ule matunda1/4 mboga za majani 1/4 Protein 1/4 na wanga 1/4 ya mlo wako wa usiku huo. Fuata maelekezo na ulete majibu kwa muda wa juma moja. Kabla ya kuanza legimen hii pima uzito na baada ya wiki pima lete majibu. Katika muda wa tiba usinywe pombe kwa sababu huwa ina calories nyingi. Kadiri unavyokunywa pombe nyingi ndivyo kadiri unavyoongeza calories zisizokuwa za lazima
wakuu nimefata ushauri wenu sana humu umenisaidia kupunguza kilo mbili kwa mwezi mmoja,sasa natumia asali na mdalasini na glasi ya maji ya moto yenye limao,pia sili tena nguruwe wala sinywagi bia nakunywa konyagi.tatizo linakuja ninapofanya mazoez ya kutembea km 5 au zaidi huwa napata maumivu sehemu niliyowahi kufanyiwa surgery ya appendex.please nahitaji kupunguza uzito kwa kasi ili october first niweze kuingia mkataba na kampuni ya matangazo.hivyo mnisaidie dawa itakayonifanya nipoteze hamu ya kula kabisa.sasa nina kilo 71 na urefu ni 171 centimeter.natakiwa niwe na kilo 64 hadi october
 
Mwili ukipatiwa chakula kizuri na kwa mpangilio zuri hauhitaji dawa yoyote. Chakula ni dawa kikitumiwa vizuri na tena ni sumu kama dawa zingine zikizidishwa.

piga ephedrine!!!
 
Dawa hiyo hapo nichek 0719 252523
 

Attachments

  • G2 CONTROL APPETITE REDUCER.jpg
    G2 CONTROL APPETITE REDUCER.jpg
    10.6 KB · Views: 402
Back
Top Bottom