kwanini usitumie dawa ya kuua magugu (Roundup) maana hiyo inaua mpaka mizizi ya mmea mzima, it is a systemic broad spectrum weed killerHabari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua. Hata ung'oe mizizi yake, bado hujiotea tena. Kwa mwenye uzoefu wa kutatua tatizo hili la kilimo naombeni msaada please
wacha weeh!it is systemic killer broad spectrum weed killer
unataka kunizoea sasawacha weeh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sasa endelea kuvaa boot ndefu za shamba tukiwa tunasubiri dawa ya magugu hayo.
Asante mkuu. Nitafuata ushauri wako. Vp ni kutumia pumpkwanini usitumie dawa ya kuua magugu (Roundup) maana hiyo inaua mpaka mizizi ya mmea mzima, it is a systemic broad spectrum weed killer
yes, mimi naitumia sana and it works wonderfully!Asante mkuu. Nitafuata ushauri wako. Vp ni kutumia pump
nikuzoee kwani nakujua?unataka kunizoea sasa