Dawa ya kutokomeza miti ya miiba shambani

Dawa ya kutokomeza miti ya miiba shambani

langaji

Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
45
Reaction score
39
Habari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua.

Hata ung'oe mizizi yake, bado hujiotea tena. Kwa mwenye uzoefu wa kutatua tatizo hili la kilimo naombeni msaada please
 
Habari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua. Hata ung'oe mizizi yake, bado hujiotea tena. Kwa mwenye uzoefu wa kutatua tatizo hili la kilimo naombeni msaada please
kwanini usitumie dawa ya kuua magugu (Roundup) maana hiyo inaua mpaka mizizi ya mmea mzima, it is a systemic broad spectrum weed killer
 
Kwa sasa endelea kuvaa boot ndefu za shamba tukiwa tunasubiri dawa ya magugu hayo.
 
kwanini usitumie dawa ya kuua magugu (Roundup) maana hiyo inaua mpaka mizizi ya mmea mzima, it is a systemic broad spectrum weed killer
Asante mkuu. Nitafuata ushauri wako. Vp ni kutumia pump
 
Kwa sasa nafikiria zaidi kilimo jamani. Mambo ya ajira rasmi ni mi🖐 tena
 
Back
Top Bottom