Dawa ya kuua magugu na majan kwenye mpunga.

Ikimbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
301
Reaction score
32
Wana Jf naomben mnisaidie ni dawa gani ya kuua magugu na majani kwenye mpunga bila kuleta madhara kwenye zao? Na kuna majani aina ya NDAGO majani haya huwa yanakuwa na mafundo kwa chini kama vitunguu, yananisumbua sana nini dawa yake maana yameota pamoja na mpunga. Mnisaidie wataalamu.
 
Tumia 2.4D inasomeka two four D
 
Asante kwa kushauri wako nitaitafuta.
 
Majani yakiwa jamii ya monocotiledon unatumia dawa gani, bila kuathili mpunga?
 
Mimi natafuta dawa ya magugu kwa matumizi ya bustani/ garden. Pls.
 
Nakumbushia tena mnisaidie dawa ya Ndago.
 
khali mkuu,
mwonekano wa ndago ukoje, jani jembamba refu na mistari ya moja kwa moja kama nyasi/mahindi (monocotiledon) au pana na mistari iliyotapakaa kama mkunde au boga (dicotiledon).
 
Ndago ni monocotiledon.
 
Ndago ni monocotiledon.
Teknolojia hubadilika kila siku, kwa uchache wa nikifahamucho kama mmea (mpunga) na gugu (ndago) vyote ni monocotiledon unaweza kudhibiti gugu kwa dawa muda mchache kabla mpunga haujaota unaweza tumia Atrazine au dawa nyingine inayofanana. Mmea ukishaota dawa inatumika kudhibiti gugu la jamii tofauti na mmea k.m. Mono-cot vs Di-cot. Kwa uhusika wa mpunga jani la jamii ya mboga unaweza kulidhibiti na 2,4,D.
Salaam.
 
Nakumbushia tena mnisaidie dawa ya Ndago.

2,4 D Amine for broad leaved weeds and sedge weed 250 mils in 15 liters of water wala usihofu amini amunu nakuambia haitasalia ndago ambayo haita teketezwa
 
Teknolojia hubadilika kila siku, kwa uchache wa nikifahamucho kama mmea (mpunga) na gugu (ndago) vyote ni monocotiledon unaweza kudhibiti gugu kwa dawa muda mchache kabla mpunga haujaota unaweza tumia Atrazine au dawa nyingine inayofanana. Mmea ukishaota dawa inatumika kudhibiti gugu la jamii tofauti na mmea k.m. Mono-cot vs Di-cot. Kwa uhusika wa mpunga jani la jamii ya mboga unaweza kulidhibiti na 2,4,D.
Salaam.

mkuu pamoja na kuwa ndago (Cyperus rotundus) ni monoxot lakini leaf venation yake sio parrarel kama monocots zingine (graminiae) ndago ina netes leaf vevetio ndio maana inateketea kwa 2 ,4 D Amine
 
Mimi nalima mpunga na natumia 2,4,d kwa kweli inafanya vizuri na inaua ndago.
 
mkuu pamoja na kuwa ndago (Cyperus rotundus) ni monoxot lakini leaf venation yake sio parrarel kama monocots zingine (graminiae) ndago ina netes leaf vevetio ndio maana inateketea kwa 2 ,4 D Amine

nashukuru mkuu, nimekupata vema.
Pamoja.
Salaam.
 
Na dawa ya majan kwenye mahindi inaitwaje? Mnisaidie na hili.
 
Back
Top Bottom