Dawa ya kuua nyasi ardhini

Dawa ya kuua nyasi ardhini

Mama Nehemiah

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2018
Posts
244
Reaction score
439
Msaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini.
Nahitaji mtu aliyekwisha tumia hiyo dawa na nyasi hazikuota tena.
 
Nenda Duka la pembejeo ulizia kiuagugu chenye kiambata Aina ya paraquat au glyphosate. Hizo zote ni broad spectrum herbicide zinaua majani ya Aina yote mapana kwa membamba.
Asante
 
ziko nyingi ila kwangu hii huleta matokeo mazuri.
 
Attachments

  • Screenshot_20240907_124637_Google.jpg
    Screenshot_20240907_124637_Google.jpg
    78.9 KB · Views: 13
Nimetumia sana ila kuwa makini kama ni shambani kwa sababu zinaua mazao pia.
 
kwahiyo hutaki kufanya palizi shambani kwa jembe la mkono..ila ukaona usipoteze muda utumie shortcut kuua majani yasikupe tena kazi kupalilia shamba mara mara duuh.!
 
Msaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini.
Nahitaji mtu aliyekwisha tumia hiyo dawa na nyasi hazikuota tena.
Mix vinegar na sabuni ya maji kisha mwagia ama nyunyiza zitakufa zote na hazitakaa ziote tena
 
Back
Top Bottom