Dawa ya kuvunja laana na mikosi

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Habari yako mkuu

Naomba kueleweka kwanza mimi sio mganga wala mganguzi ila katika pitapita zangu kwenye social media nimepata kuona dawa mjarabu kwa wenye vifungo vya mizimu na majini binafsi imenisaidia

MASHARTI

Hutakiwi kuwaamini mchafu kiroho yaani ni kwamba hauitajiki kuwa mchafu kwa namna yeyote na kujitenga mbali na vichafuzi vya mwili pamoja na roho(zinaa na pombe) ili kuepusha kuendelea kwa ushetani ndani yako na kuvutia nuru ndani yako.

Dawa na Matumizi
Chumvi ya madonge na kawaha/mdalasini ya unga asili isiyo ya kemikali au ilitengezwa viwandani

-unatia ndani ya maji vyote kwa kuweka manuizi ya kuomba kwa Mungu ukuondolee nguvu hasi ndani yako kwa kutumia chumvi na kahawa

Matumizi unatakiwa kuoga .

Utakuja kunishukuru.
 
Tupe ushuhuda wa dawa hii.
 
Unaitumia kwa muda gani, au mpaka kifo
 
Alafu ukute Mkristo hasa Mkatoliki ambaye anashiriki mwili na damu ya Yesu kila jumapili nae anatengeneza dawa hizi na kunywa zimwoshe na uchafu wa kiroho tena ananuizia kabisa!

Nuizia kwa Yesu unaposhiriki Ekaristi mengine tumia kama chakula au kinywaji tu.
 
Try it ndugu

Jua kubwa kubwa chumvi ni dawa ya kurudisha nguvu zako,then kahawa au mdalasini husafisha mwili
"Negativity has it power to reject it's opposite side quickly especially in rude and naught way " Naangalia nacheka kwa nguvu sana
 
Chumvi hata kwenye maji ya baraka inawekwa hivyo vinaitwa visakrament
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…