Dawa ya kuvunja laana na mikosi

Dawa ya kuvunja laana na mikosi

Maji ya baraka ni nini? Na ndani yake kuna nini?
Kazi ya chumvi iliondani ya maji ya baraka sio kuondoa izi umani za ovyo mnazoita laana, mizimu na mapepo, hizo imani ni moja ya UJINGA wa mwafrika.

Ukitaka kunielewa vyema rejea maneno yanayotamkwa na padre wakati wa kubariki hayo maji ya baraka huku akinyunyuzia ivyo chumvi.

Na unakutaka kuna wakatoriki wasio ielewa imani bado wana matumuzi ya ovyo na ya kishirikina ya hayo maji ya baraka. Mwingine anabeba madumu na madumu anenda kunyunyuzi nyumba nzima. Mwingine imani yake imeishia hapohapo kwenye hayo maji kiasi kwamba hayo maji kwake ndio kila kitu.

Jitahidi kuielewa imani na sio kupitia mazoea ya watu, kwani ukiielewa ndivyo sivyo hutakuwa na tofauti yeyote na washirikikina na waganga wa kienyeji.
 
Chumvi hata kwenye maji ya baraka inawekwa hivyo vinaitwa visakrament
Acha upotoshaji wa wazi. Chumvi kwenye maji ya baraka ni kwa ajili ya kutunza au kuhifadhi yale maji yasiharibike wakati yatakapokaa mda mrefu na si vinginevyo.
 
Nimeuliza maji ya baraka ni nini?
 
Naona wajinga wameongezeka sana awamu hii...😂
 
Acha upotoshaji wa wazi. Chumvi kwenye maji ya baraka ni kwa ajili ya kutunza au kuhifadhi yale maji yasiharibike wakati yatakapokaa mda mrefu na si vinginevyo.
maji hayaharibiki hata siku moja
 
Back
Top Bottom