Dawa ya kuzuia kutapika kwa mjamzito

Daha
Mke e
Wangu anatapika sana ila tangawizi bila sukari hataki kabisa kusikia hilo hata limao hataki anasema mabaya
 
Daha

Mke e
Wangu anatapika sana ila tangawizi bila sukari hataki kabisa kusikia hilo hata limao hataki anasema mabaya
Atumie vomidoxin. Mimi nilitumia wiki kutapika kukaacha mpaka najifungua. Mimba ya kwanza sikuijua vomidoxin nilitapika miezi 9 yote. Hata ORS ukinywa inarudi mpaka Dr alichanganyikiwa. Mungu tu alisaidia nikajifungua salama
 
Kwaio hata mkewangu hii hali anayo. Adi siav mimba ndo ina miezi na nusu hizo dawa naweza tumia. Eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…