Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke eUsiogope hiyo hali itaisha tu, epuka dawa dawa za hospitali zitamharibu mtoto aliye tumboni hata vile vidonge vya Nosic vinazuia kutapika lakini vina madhara sana bora asitumie hiyo itaisha yenyewe mwili ukizoea, ale tu juices za malimao, ukwaju nk na usiweke sukari.
Atumie vomidoxin. Mimi nilitumia wiki kutapika kukaacha mpaka najifungua. Mimba ya kwanza sikuijua vomidoxin nilitapika miezi 9 yote. Hata ORS ukinywa inarudi mpaka Dr alichanganyikiwa. Mungu tu alisaidia nikajifungua salamaDaha
Mke e
Wangu anatapika sana ila tangawizi bila sukari hataki kabisa kusikia hilo hata limao hataki anasema mabaya
Kwaio hata mkewangu hii hali anayo. Adi siav mimba ndo ina miezi na nusu hizo dawa naweza tumia. EtiApate glucose pamoja na ORS ya kutosha,upungufu Wa sukari na madini mwilini huwa ndo chanzo cha tatizo,pia dawa ya "vomidoxin " ni nzuri tu,ina mchanganyiko Wa vitamin B6 pamoja na Meclizine.Dawa naomba ufanye kuwa chaguo la mwisho kabisa,cha msingi ni hizo Ors na Glucose.
yesKwaio hata mkewangu hii hali anayo. Adi siav mimba ndo ina miezi na nusu hizo dawa naweza tumia. Eti