NyotaMalaika
Senior Member
- Aug 6, 2012
- 167
- 77
tafadhari hebu share nasi hivyo vipengele vinne hapo juu, kama hutajari mkuu.Katika uzi mmoja JF Doctors niliandika hivi:
"Bado tuna safari ndefu sana kwenye janga hili feki la HIV/AIDS.Uongo wowote ukiurudia mara kwa mara kuusisitiza kuwa ni kweli mwishowe watu wataamini.Ni wale tu ambao wana ufahamu wa kutosha kuhusu uongo huo ndio watakaoweza kuepuka kudanganywa.PEP hazina faida yoyote mwilini na hakuna mantiki yoyote kwamba husaidia kumuokoa mtu na maambukizi ya HIV kwa kuwa HIV/AIDS haImbukizwi kwa njia ya damu/sex/vimiminika vya mwili,na isitoshe HIV ni harmless passenger virus ever ever existed for centuries without causing AIDS.Najua hili ni jambo geni na jipya kwa wengi,na mtu anaposikia kwa mara ya kwanza inakuwa kama muujiza kwake hasa pale mzungumzaji anapokuwa sio maarufu kama watu ambao tumewazoea kama vile Antonio Faucci,Robert Gallo au Luc Montagnier.
Tanzania/dunia bila HIV/AIDS inawezekana kwa wale tu ambao wata unlock password hii kama mimi.Mimi siogopi HIV kwa kuwa naelewa na najua pia undani wa ugonjwa huu feki kuanzia;
1.Historia yake ambayo ni upumbavu uliopindukia
2.Hypothesis yake ambayo sio scientific kabisa,ni feki kupindukia
3.HIV tests used which are extremely fake
4. Kwa nini waliotudanganya wameamua kutudanganya
Kama mtu anapinga hili,kabla hatujaanza mjadala wa kisayansi kwanza aende kituo cha afya chochote kinachopima kina mama wajawazito ambao pia waume zao wamepimwa pia,halafu uliza idadi ya couple zilizopimwa HIV na matokeo yake kwa mme na mke wake ambaye ana mimba.Ukishapata majibu tumia akili yako,huna haja ya kuniambia.Hapo ndio utajua namaanisha nini.Kwa msaada zaidi nenda topic hapo chini na soma post zangu zote.
Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola "
Pritty wa joseph ni wewe kweli ndio umetoa ushauri kwamba anywe ARV ndani ya 48 hours?Au kuna mtu anatumia ID yako?Wewe ni mmoja wa wale ambao umefuatilia post zangu nyingi humu JF,hivyo sikutegemea kama ungetoa ushauri kama huo.Labda kuna kitu kingine unamaanisha,sijui.
mm napingana na ww kwa baadhi ya vitu kwanza kusema pep hazina faida wala arv pia pia vipimo vya HIV vipo ambavyo ni 100% accurate mfano PCR Polymerase chain reaction tatizo ni very expensive pia zipo dawa za hiv ambazo ni nzuri ila tatizo ni gharama mfano trofile assay ni dollar 1500 hiki ni kipomo cha kujua virusi vinatumia njia gani kupitia sasa watanzania wangapi wanaweza kulipa gharama hii, hii ndio sababu tanzania ukimwi ni tatizo (i) wengi hawana regular check up (ii) viral load check up (ii) CD4 cell counter pia trofile assay kwa ajili ya kucheck viral tropism such CCR5 TROPIC,CXCR4 TROPIC OR DUAL TROPIC hii ni kitu muhimu sana maana dawa zake zinatumika kama functional cure such as CCR5 INHIBITOR AND cxcr4 inhibitor synthesized t134 ila kiukweli magonjwa mengi ya virus ni ya kutengenezwa kama huu HIV,EBOLA kama ulivyosema history yake ni feke ukisoma unakuta kuna US special virus program pia Ebola us wameuwekea patent inamaana watu hawaruhusiwi kutumia virusi vya ebola kufanyia research bila kuomba kibali na kulipia pia wao wakipata ebola wanapona ila gozi nyeusi akipata anakufa hii inatokana na mtu akitipia ebola anakuwa dawa kwa wengine yaan mtu akitibiwa ebola damu yake ikafanyiwa transfusion kwa mwingine anaugua ebola anapona
duuu mistar yako minne ya mwisho imenikumbusha muvi za vampires na warewolfs.. ama kweli