Dawa ya kuzuia maambukiizi ya UKIMWI na itumike muda gani kwa mtu aliyebakwa?

Dawa ya kuzuia maambukiizi ya UKIMWI na itumike muda gani kwa mtu aliyebakwa?

NyotaMalaika

Senior Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
167
Reaction score
77
Habari za weekend wakuu

Poleni na hongereni kwa majukumu tafadhali naomba kujuzwa kama kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI endapo tu utakuwa umefanya mapenzi na mtu ambaye hujapima nae au kwa mtu aliyebakwa.Tafadhali kama ipo mnijuze inapatikana wapi na inatumiaka ndani ya muda gani baada ya tendo.

Poleni kwa usumbufu nawasilisha.

NB:Not happened to me
 
Ww mara ya mwisho kupima ln? Nendeni mkapime wote kuanzia hapo ndo utajua upewe dawa za kuzuia au za kutibu! Pole
 
Wewe nani kakwambia unapata HIV kwa kufanya mapenzi na mtu ambaye hujapima naye?? Elimu bado haijatosha naona.
 
Katika uzi mmoja JF Doctors niliandika hivi:

"Bado tuna safari ndefu sana kwenye janga hili feki la HIV/AIDS.Uongo wowote ukiurudia mara kwa mara kuusisitiza kuwa ni kweli mwishowe watu wataamini.Ni wale tu ambao wana ufahamu wa kutosha kuhusu uongo huo ndio watakaoweza kuepuka kudanganywa.
PEP hazina faida yoyote mwilini na hakuna mantiki yoyote kwamba husaidia kumuokoa mtu na maambukizi ya HIV kwa kuwa HIV/AIDS haImbukizwi kwa njia ya damu/sex/vimiminika vya mwili,na isitoshe HIV ni harmless passenger virus ever ever existed for centuries without causing AIDS.Najua hili ni jambo geni na jipya kwa wengi,na mtu anaposikia kwa mara ya kwanza inakuwa kama muujiza kwake hasa pale mzungumzaji anapokuwa sio maarufu kama watu ambao tumewazoea kama vile Antonio Faucci,Robert Gallo au Luc Montagnier.
Tanzania/dunia bila HIV/AIDS inawezekana kwa wale tu ambao wata unlock password hii kama mimi.Mimi siogopi HIV kwa kuwa naelewa na najua pia undani wa ugonjwa huu feki kuanzia;

1.Historia yake ambayo ni upumbavu uliopindukia
2.Hypothesis yake ambayo sio scientific kabisa,ni feki kupindukia
3.HIV tests used which are extremely fake
4. Kwa nini waliotudanganya wameamua kutudanganya

Kama mtu anapinga hili,kabla hatujaanza mjadala wa kisayansi kwanza aende kituo cha afya chochote kinachopima kina mama wajawazito ambao pia waume zao wamepimwa pia,halafu uliza idadi ya couple zilizopimwa HIV na matokeo yake kwa mme na mke wake ambaye ana mimba.Ukishapata majibu tumia akili yako,huna haja ya kuniambia.Hapo ndio utajua namaanisha nini.Kwa msaada zaidi nenda topic hapo chini na soma post zangu zote.

Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola "

Pritty wa joseph ni wewe kweli ndio umetoa ushauri kwamba anywe ARV ndani ya 48 hours?Au kuna mtu anatumia ID yako?Wewe ni mmoja wa wale ambao umefuatilia post zangu nyingi humu JF,hivyo sikutegemea kama ungetoa ushauri kama huo.Labda kuna kitu kingine unamaanisha,sijui.​


 
Katika uzi mmoja JF Doctors niliandika hivi:

"Bado tuna safari ndefu sana kwenye janga hili feki la HIV/AIDS.Uongo wowote ukiurudia mara kwa mara kuusisitiza kuwa ni kweli mwishowe watu wataamini.Ni wale tu ambao wana ufahamu wa kutosha kuhusu uongo huo ndio watakaoweza kuepuka kudanganywa.
PEP hazina faida yoyote mwilini na hakuna mantiki yoyote kwamba husaidia kumuokoa mtu na maambukizi ya HIV kwa kuwa HIV/AIDS haImbukizwi kwa njia ya damu/sex/vimiminika vya mwili,na isitoshe HIV ni harmless passenger virus ever ever existed for centuries without causing AIDS.Najua hili ni jambo geni na jipya kwa wengi,na mtu anaposikia kwa mara ya kwanza inakuwa kama muujiza kwake hasa pale mzungumzaji anapokuwa sio maarufu kama watu ambao tumewazoea kama vile Antonio Faucci,Robert Gallo au Luc Montagnier.
Tanzania/dunia bila HIV/AIDS inawezekana kwa wale tu ambao wata unlock password hii kama mimi.Mimi siogopi HIV kwa kuwa naelewa na najua pia undani wa ugonjwa huu feki kuanzia;

1.Historia yake ambayo ni upumbavu uliopindukia
2.Hypothesis yake ambayo sio scientific kabisa,ni feki kupindukia
3.HIV tests used which are extremely fake
4. Kwa nini waliotudanganya wameamua kutudanganya

Kama mtu anapinga hili,kabla hatujaanza mjadala wa kisayansi kwanza aende kituo cha afya chochote kinachopima kina mama wajawazito ambao pia waume zao wamepimwa pia,halafu uliza idadi ya couple zilizopimwa HIV na matokeo yake kwa mme na mke wake ambaye ana mimba.Ukishapata majibu tumia akili yako,huna haja ya kuniambia.Hapo ndio utajua namaanisha nini.Kwa msaada zaidi nenda topic hapo chini na soma post zangu zote.

Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola "

Pritty wa joseph ni wewe kweli ndio umetoa ushauri kwamba anywe ARV ndani ya 48 hours?Au kuna mtu anatumia ID yako?Wewe ni mmoja wa wale ambao umefuatilia post zangu nyingi humu JF,hivyo sikutegemea kama ungetoa ushauri kama huo.Labda kuna kitu kingine unamaanisha,sijui.​


tafadhari hebu share nasi hivyo vipengele vinne hapo juu, kama hutajari mkuu.
 
mm napingana na ww kwa baadhi ya vitu kwanza kusema pep hazina faida wala arv pia pia vipimo vya HIV vipo ambavyo ni 100% accurate mfano PCR Polymerase chain reaction tatizo ni very expensive pia zipo dawa za hiv ambazo ni nzuri ila tatizo ni gharama mfano trofile assay ni dollar 1500 hiki ni kipomo cha kujua virusi vinatumia njia gani kupitia sasa watanzania wangapi wanaweza kulipa gharama hii, hii ndio sababu tanzania ukimwi ni tatizo (i) wengi hawana regular check up (ii) viral load check up (ii) CD4 cell counter pia trofile assay kwa ajili ya kucheck viral tropism such CCR5 TROPIC,CXCR4 TROPIC OR DUAL TROPIC hii ni kitu muhimu sana maana dawa zake zinatumika kama functional cure such as CCR5 INHIBITOR AND cxcr4 inhibitor synthesized t134 ila kiukweli magonjwa mengi ya virus ni ya kutengenezwa kama huu HIV,EBOLA kama ulivyosema history yake ni feke ukisoma unakuta kuna US special virus program pia Ebola us wameuwekea patent inamaana watu hawaruhusiwi kutumia virusi vya ebola kufanyia research bila kuomba kibali na kulipia pia wao wakipata ebola wanapona ila gozi nyeusi akipata anakufa hii inatokana na mtu akitipia ebola anakuwa dawa kwa wengine yaan mtu akitibiwa ebola damu yake ikafanyiwa transfusion kwa mwingine anaugua ebola anapona
[h=3][/h]
 
khalfan56
nilikuwa nawatafuta sana watu kama ninyi,kwa kuwa watu kama ninyi mkijua ukweli ulivyo kwenye suala kama hili mtakuwa na mchango mkubwa sana kuwaelimisha na wengine.
Kwanza inabidi ufahamu kwamba vitu vyote ulivyoandika ni kasumba tu,havina ukweli wa kisayansi.Kuna uwezekano mkubwa kwamba wewe utakuwa MD(Medical Doctor),kama ni kweli itakuwa safi sana kufanya discussion na mtu kama wewe,kama si kweli pia hakitaharibika kitu.Twende kwenye mada:

Naanza kwa kukuomba ujibu maswali haya yafuatayo;
1.PEP na ARVs zina faida gani mwilini?
2.Unazijua side effects za ARVs?
3.Una uhakika kwamba vipimo vya HIV vinapima HIV?Elezea vinapimaje.
4.(a)Hiko kipimo cha PCR unachozungumzia unamjua aliyekigundua/kutengeneza?
(b)Unafahamu aligundua/kutengeneza kwa madhumuni gani?
(c)Unafahamu pia aliyetengeneza kipimo hicho anasemaje kuhusu HIV/AIDS?
5.Unaweza kueleza ni kivipi HIV anasababisha AIDS?Kama una scientific proof nisaidie.

Ukishayajibu maswali hayo,na mimi nitayajibu pia kama yalivyo halafu tutalinganisha na uhalisia ulivyo kwenye maisha yetu ya mtaani.
 
mimi sio medical doctor answer as the follows 1.pep na arv zinasaidia kuslow down disease progression ( viral load) mtu anaetumia ARV huwa adevelop kwenye AIDS pia inainhibit virus from creating new copies sababu pia inapunguza new copies za HIV since the ware on the target pia inapunguza risk of opportunistic infection unajua hiv haitibiki sababu ya micro-evolution sasa ukitumia dawa such as arv zinareduse chance of 2nd generation kumbuka kuna aina nyingi za ARV usione wanazotumia tanzania tu ndo maana baadhi nikazitaja zipo dawa unapona hiv 95% lakini ndo gharama 2. zipo dawa ambazo hazina madhara zinaitwa magic bullet sio kila dawainaside effect inatengemea HIV umetibiwa kwa njia ipi na dawa ipi arv sio jina la dawa ni kundi la dawa kwa hiyo zipo nyingi sana tena nyingi hazina madhara sema kwetu hazipo 3. mfano PCR inapima protein chain yaan inampima genetic structure ya HIV na sio antibodies pia inapima na viral load 4.(a) ndio hiki kifaa aligundua Kary Banks Mullis kutokana na knowledge transfer now kinatengenezwa na kampuni nyingi za bioengineering (b) ndio alitengeneza kwa ajili ya helicase-dependent amplification (HDA) and recombinase polymerase amplification (RPA) pia genetics testing such as genetic disoder,mutation pia disease zinazohusiana na genetic kama virus na genetic code (c) anasema itawasaidia sana reseachers kwa kuwa wanaseza kutest genetic pia kujua genetic code mfano HIV ana gene 7 pia kupata majibu ya HIV mapema zaidi n ya huakika zaidi pia inaweza kumpima mtoto hata akiwa tumbo kwa mama na hata baada ya kuzaliwa 5. IKO hivi mtu anapata hiv either kwa kupata damu iso salama ana kwa kufanya mapenzi na mtu ambaye ameathirika pia kuchangia vifaa vya ncha kali HIV virus akiingia kwenye damu anatafuta CD4 receptor unaweza kuniuliza anajuaje kama hii ndo CD4 HIV virus ana ana gene 7 gene ya kwanza inaitwa ENV hii inabreak down gp 160 kuwa gp 120 na gp 41 gp 120 ndio ndio inamfanya ajue hii ndio white blood cell pia kujua CD4 receptor hivyo gene zilizobaki zina zinacontrol ability of virus to infect cell kama kufanya reversal transcript hivyo basi virus akishaingia kwenye CD4 anabind CCR5,CXCR4 au zote kitendo hiki kinaitwa viral tropizm akishaingia ananza kuweka copies zake kwa kufanya reversal transcipt kwa hiyo mwili wako unashindwa kuvitambua virus sababu vinachange genetic structure rapidy na kusababishi mwili kuto vitabua hivyo ugonjwa kuanza hivyo dawa utakazo pewa zina punguza virus ila vingine hazitokufa sababu ya micro-evolution & artificial and natural selection hii maana yake ni micro-evolution ni change of alalle frequency yaan mutation within a population maana yake kadri virus vinavyozidi kuwa vingi na mutation inazidi maana yake baadhi ya virus vitakufa vingine havitakufa sababu vimebadilika na kuwa kama kizazi kingine kutokana na mutation baada ya kama wiki kadhaa mtu anaona dalili ya homa ila atapona anaweza asione dalili mpaka baada ya 7-10 years hapa ndo AIDS inaanza hata mtu asiyetumia ARV anapata AIDS ila hii kuwahi au kuchelewa inatokana na kinga ya mtu ya mwili kama unajitunza vizuri unachelewa kupata AIDS kwa hiyo virus akishamulia cells zako kwa muda mrefu hivyo mwili wako utakuwa zaifu na kushindwa kupambana na magonjwa hii ndo wanaita AIDS ukisikia neno SYNDROME maana yake ni kitu chenye dalili nyingi mtanisamehe kama nimetumia Lugha ngumu hii nikutokana na ugumu wa maneno
 
1.PEP na ARVs zote hazina faida mwilini,badala yake zina hasara kubwa ambayo ni kudhoofisha kinga ya mwili kitu ambacho hasa ndio ugonjwa wenyewe na tunamsingizia HIV kama ndio mhusika mkuu.Kuhusu dawa ambazo huponesha AIDS(sio HIV,maana HIV hana madhara) kwa 95% and more than that ni kweli zipo lakini si kama unavyofahamu wewe,dawa hizo sio expensive kama unavyofikiri na sio complicated,they come from nature na sio kemikali na isitoshe mimi ninazijua na ninazo.Wewe nitajie unazozijua wewe.Nipe muda nikija tena baadaye nitakupatia scientific paper kuonesha kwamba dawa za PEP na ARVs zote hazina faida mwilini.

2.Magic bullet ni jina la kifamasia?kama sio nipe jina la kifamasia.Dawa zote za ARVs zina madhara na hutokana na utendaji kazi wake dhidi ya hao tunaowaita HIV(ila kwangu mimi ni feki).Taja majina ya kifamasia ya dawa unazojua kwamba hazina side effects na mimi nitakuonesha kwamba zina side effects.

3.Hapa tuko pamoja kidogo,PCR haioneshi HIV bali hupima genetic structure ya HIV ila huwezi kumuona HIV mwenyewe kwa kutumia PCR.Hili lina maana kubwa sana ambayo tutadadavua baadaye.Narudia kwamba ukumbuke nilisema pamoja na yote hayo HIV hana madhara mwilini.Mambo yote tunamsingizia HIV husababishwa na ARVs na hata kama mtu hatumii ARVs lazima kutakuwa na scientific problem kama anaumwa ambayo haisababishwi na HIV.
Ukinipa mfano wa mtu mmoja mwenye dalili za AIDS(Sio HIV/AIDS,namaanisha AIDS pekee) ambaye hatumii ARVs nitakueleza sababu zinazomsumbua ambazo zinatibika kabisa.

4.(a).Tuko pamoja
(b).Tuko pamoja
(c).Umejibu vizuri ila ni kosa langu kuliweka swali hili very general.Labda nikuulize kivingine.Unajua Karly Mullis anachukuliaje suala la kwamba HIV anasababisha AIDS/UKIMWI?

5.Maelezo yote ulityotoa ni pseudo science na itakuwa vigumu sana kubadili mtazamo wako kama hujishughulishi na kutafuta uelewa nje mainstream ambako ndio kuna real science ambayo haiko kibiashara kama hii ya kina Robert Gallo,Antonio Faucci na Luc Montagnier.Ukijua facts kuhusu HIV utaelewa namaanisha nini.
Nisingependa nikurundikie maswali kwenye hili,ila nitakuuliza swali moja tu hapa.Naomba unipe scientific paper inayoonesha kwamba HIV anaua T-Cells au CD4.

Unijibu hayo maswali machache ya nyongeza na kuniletea sciefic proof/paper nilizokuomba.Na mimi pia nina wajibu wa kukuletea sciefic proof/paper ya vile nilivyoahidi.Baada ya hapo tutakwenda kwenye mazingira yetu ya mtaani kulinganisha ni maelezo yapi yanaendana na uhalisia.Hiyo ndio science.

NOTE😛ia unasema kwamba sio kila mtu anapata hiv au AIDS wengine hawapati.

Hapa ndipo utata wenu unapochanganya watu,hebu eleza pia kina nani hawapati na kwa sababu zipi.Maana pseudo science inajibu kwa kila swali bila kujali kama jibu ni la uongo au kweli.
 
Deception, mjadala s ugomvi wala si usishandani. Kama kuna ambacho una kifahamu kuhusu swala fulani kiweke mezani anayekubali atakubali na anayepinga atapinga kwa hoja. Hivyo ndivyo mjadala unatakiwa kwenda, njia unayotumia sidhani kama ni nzuri. Ila hongera kwa ufatiliaji wa mambo
 
Last edited by a moderator:
mm napingana na ww kwa baadhi ya vitu kwanza kusema pep hazina faida wala arv pia pia vipimo vya HIV vipo ambavyo ni 100% accurate mfano PCR Polymerase chain reaction tatizo ni very expensive pia zipo dawa za hiv ambazo ni nzuri ila tatizo ni gharama mfano trofile assay ni dollar 1500 hiki ni kipomo cha kujua virusi vinatumia njia gani kupitia sasa watanzania wangapi wanaweza kulipa gharama hii, hii ndio sababu tanzania ukimwi ni tatizo (i) wengi hawana regular check up (ii) viral load check up (ii) CD4 cell counter pia trofile assay kwa ajili ya kucheck viral tropism such CCR5 TROPIC,CXCR4 TROPIC OR DUAL TROPIC hii ni kitu muhimu sana maana dawa zake zinatumika kama functional cure such as CCR5 INHIBITOR AND cxcr4 inhibitor synthesized t134 ila kiukweli magonjwa mengi ya virus ni ya kutengenezwa kama huu HIV,EBOLA kama ulivyosema history yake ni feke ukisoma unakuta kuna US special virus program pia Ebola us wameuwekea patent inamaana watu hawaruhusiwi kutumia virusi vya ebola kufanyia research bila kuomba kibali na kulipia pia wao wakipata ebola wanapona ila gozi nyeusi akipata anakufa hii inatokana na mtu akitipia ebola anakuwa dawa kwa wengine yaan mtu akitibiwa ebola damu yake ikafanyiwa transfusion kwa mwingine anaugua ebola anapona




duuu mistar yako minne ya mwisho imenikumbusha muvi za vampires na warewolfs.. ama kweli
 
tatizo ni uelewa wa genetics ndio tatizo labda nisema hivi genetic code hua ni identical haifana na mtu mwingine mfano code za kirusi cha hiv hakiwezi kufana na kirusi kingine na hakuna kirusi kingine chochote kinachobind CCR5 or CXCR4 zaid ya hiv kuna vipimo vikingi vya hiv na vyote ni sahihi mfano HAT inapima hizi code za HIV MA, CA, SP1, NC, SP2, P6,RT, RNase H, IN, PR na gp120, gp41 hizi huwezi kuzikuta kwenye kirusi kingine chochote zaid ya hiv hii ndio sababu ya kusema ni accurate kwa hiyo inamaana akipima genetic material ndio virus mwenyewe huwezi kupata AIDS kama HIV huna ila unaweza kupata HIV AIDS usipate hii ni kwanini HIV ni infection AIDS sio infection AIDS ni chronic stage ya HIV pia or HIV ni virus anae cause AIDS nasio kila hiv positeve ana AIDS as HIV can remain in a latent stage for many years but if HIV left untreated usually progresses to AIDS ambayo ndo chronic stage AIDS ww unakosea kuelezea vizuri AIDS defined as possessing a CD4+ lymphocyte count under 200 cells/μl or HIV infection plus co-infection with an AIDS-defining opportunistic infection. niambie ugonjwa gani upo kama hivi ambao sio HIV kama leta madhara kama haya PIA HIV anaweza kuwa kwa muda mrefu kwenye mili sababu anaweza kuwaactivated after years of latency au genetic material has been altered HIV anadestroy T-cell kwa sababu HIV is able to suppress the immune system by secreting proteins that interfere with it mfano HIV's coat protein, gp120, sheds from viral particles and binds to the CD4 receptors of otherwise healthy T-cells; this interferes with the normal function of these signalling receptors. Pia HIV protein, Tat, has been demonstrated to suppress T cell activity. Infected lymphocytes express the Fas ligand, a cell-surface protein that triggers the death of neighboring uninfected T-cells expressing the Fas receptor.This "bystander killing" effect shows that great harm can be caused to the immune system even with a limited number of infected cells.
 
Hiko hivi kuna kitu kinaitwa CCR5 antagonist maana yake ni kwamba kuna watu wanarithi ccr5 delta 32 gene ambayo unaipata kwa wazazi wote walili inainhibit entery of virus kwa hiyo watu wanamna hii hawapati HIV kuna wengine wanapata HIV lakini hawana dalili hii tunasema genetic material of virus has bee altered can be due mutation,genetic drift,electroporation,Antisense oligonucleotides kwa hiyo akipima atambiwa ni positive ila dalili hana ndo tuna waita carrier kwenye science kama kitu hakina dalili hatuhesabihi kama ni ugonjwa mpaka dalili zi tokee ndo tunasema unaumwa anaweza kukaa hivi mpaka after latency stage ndo akawa activated respectively
 
ushawahi kusikia mtu anatumia ARV therapy akadevelop kwenye AIDS pia ndo maana wengi wakianza kutumia dawa hawaonekana kama wana ukimwi sababu dalili hawana pia zipo dawa tunaita genetically modified drug hizi dawa hazina effect tatizo ni gharama mfano SOliris hii dawa inauzwa $409,500 je wangapi wanaweza kununu huwezi kulinganisha mtu anaetumia ARV na asiyetumia tuingie ndani kidogo kwenye mechanism Nucleoside Reverse Transcriptase Inhibitors (NRTIs) inhibit reverse transcription by causing chain termination after they have been incorporated into viral DNA. For these drugs to be active they need to be phosphorylated intracellularly. This was the first group of antiretroviral agents to be used against HIV. huweizi kusema hazina faida wakati watu wanatumia unafikili wao hawakusoma na hawajui dawa inavyofanya kazi niambie nchi gani hawatumii ARV [h=1][/h]
 
khalfan56: ......kuna vipimo vingi vya hiv na vyote ni sahihi mfano HAT...

Deception:Kama unachosema ni kweli,niambie kwa nini kwenye vipimo vya HIV kuna majibu matatu,HIV+,HIV- na majibu tata.Na kwa nini kuna kesi nyingi mahakamani kwamba watu wamepewa majibu ya uongo baada ya kujiridhirisha kwa kupima maeneo tofauti na kupata majibu tofauti?

khalfan56:......huwezi kupata AIDS kama HIV huna......

Deception:.....Hivi wewe unaelewa unachozungumza?AIDS kwa kiswahili ni UKIMWI(Upungufu wa kinga mwilini).Je,ni kweli hujui kama kuna mambo mengine zaidi ya huyo HIV feki ambayo yanaweza kukusababishia kinga yako kushuka/kupungua?Nitakusaidia,baadhi ya mambo hayo ni malnutrition,unywaji sana wa pombe bila kula vizuri,utumiaji wa madawa ya hospitali mara kwa mara mfano ARVs,aspirin,diclofenac,antibiotics,dawa za chemotherapy nk, na madawa ya kulevya kama vile heroin.

khalfan56:....unaweza kupata HIV AIDS usipate.....

Deception:Ndio maana nakwambia HIV hasababishi AIDS,AIDS ni lifestyle disease my friend na husababishwa na mambo tofauti na yale uliyojazwa kwenye ubongo wako kupitia vitabu mnavyovitumia ambavyo vimetungwa na haohao kwa lengo hilohilo,jitahidi kidogo kuondoka kwenye hiyo kasumba.

khalfan56:.......HIV ni virus anae cause AIDS na sio kila hiv positeve ana AIDS ......

Deception:Unaendelea kuthibitisha maelezo yako ya hapo juu,najua utajitetea kwa hoja ya latency,usijali tutakwenda huko pia.

khalfan56:.....HIV can remain in a latent stage for many years.....

Deception:Mara nyingi sana huwa nakuhitaji unipe scientific proof/paper lakini hunipi,una maana gani?Maelezo unayotoa bila scientific proof ni pseudo science tu na si vinginevyo.Jitahidi kwenda nje ya kina Antonio Faucci na Robert Gallo kama kweli una nia ya kujua ukweli,vinginevyo nitakujumuisha na kundi lao ambao wote mnashiriki kufanya mass killing ya watu duniani kwa ajili ya profit ya kuuza madawa.

khalfan56:...but if HIV left untreated usually progresses to AIDS ambayo ndo chronic stage AIDS ww unakosea kuelezea vizuri.....

Deception:Scientific paper/proof please,sitaki pseudo science.Kama mimi nakosea kueleza vizuri nielekeze nieleze vipi?

khalfan56:AIDS defined as possessing a CD4+ lymphocyte count under 200 cells/μl or HIV infection plus co-infection with an AIDS-defining opportunistic infection....

Deception:Unajua kama definition ya HIV/AIDS imebadilika mara nyingi na kuna definition nyingi za AIDS?Ndio maana huwa nasema kwamba ugonjwa huu ni feki na ufeki wake unaanzia kwenye historia yake na hypothesis yake.Katika post yangu ya kwanza kabisa kwenye uzi huu nilitoa link ya thread moja watu wafuatilie nilichoandika.Lakini kwa kuwa wavivu ni wengi bado naulizwa maswali yale yale ambayo nilishaeleza na kuyatolea evidence zake.

khalfan56:.....niambie ugonjwa gani upo kama hivi ambao sio HIV.....

Deception:UKIMWI

khalfan56:HIV anaweza kuwa kwa muda mrefu kwenye mili sababu anaweza kuwaactivated after years of latency .....

Deception:Hapo kwenye bold naomba scientific proof/paper.

khalfan56:....HIV anadestroy T-cell.....

Deception:Scientific proof/paper please.

khalfan56:....genetic material of virus has bee altered can be due mutation,genetic drift,electroporation,Antisens e oligonucleotides kwa hiyo akipima atambiwa ni positive ila dalili hana ndo tuna waita carrier kwenye science kama kitu hakina dalili hatuhesabihi kama ni ugonjwa mpaka dalili zi tokee ndo tunasema unaumwa anaweza kukaa hivi mpaka after latency stage ndo akawa activated respectively

Deception:Kwa kuwa HIV/AIDS ni feki,hivyo theory zake na uhalisia wake ni tofauti na kuna mkanganyiko mkubwa kiasi cha kuwaduwaza sana watu.Ndio maana wanakuja na pseudo explanations ili kuwaaminisha kwamba kila mkanganyiko unaotokea una sababu ilihali mikanganyiko yote inatokea na inabidi itokee kwa kuwa ugonjwa wenyewe ni feki.Naomba scientific paper/proof tafadhali.

khalfan56:.....ushawahi kusikia mtu anatumia ARV therapy akadevelop kwenye AIDS....

Deception:Sijasikia bali nimeona.Baadhi yao walikubali niwaachishe ARVs wakakubali na mpaka leo wanadunda na miaka 10 yenu imeshapita ya latency bado wanadunda.Hapa pia mna theory nyingine ya kuwaelezea watu kuhusu ukweli huu ninaokupa?Miaka 10 imeshapita na mtu ameacha ARVs baada ya kutumia muda wa miaka 7 na bado anadunda,unasemaje hapa?Najua lazima utakuwa na jibu.

khalfan56:.....huweizi kusema hazina faida wakati watu wanatumia unafikili wao hawakusoma na hawajui dawa inavyofanya kazi......

Deception:Kwa mtu kuanza kupata madhara kwa kutumia ARVs is just a matter of time my friend,lakini lazima dawa zimlaze.Au hujui kwa nini wana buy time kwamba HIV anaanza kusababisha matatizo baada ya miaka 7 hadi 10?Wana buy time ili side effects za ARVs zianze kujitokeza na kumuua mtu ili wasingizie HIV.Kama umeshawahi kufika clinic ya wagonjwa wa HIV/AIDS utakubaliana na mimi kwamba karibu wagonjwa wote walio kwenye late stages wana matatizo yafuatayo ukiachilia mbali TB ambao unafahamika na hausababishwi na HIV;1.Heart diseases
2.Cancer
3.Liver problems
4.Kidney problems
5.Anaemia

Nyongeza ni;
Pneumonia,diabetes.

Sasa jiulize HIV anasababishaje haya magonjwa.Fahamu kwamba haya ndio magonjwa yanayowaua mara nyingi.

Deception:Majadiliano yaliyopita nilikuomba ulete scientific proof/paper fulani hukuleta na unaendeleza pseudo science ileile.Leo nimekuomba tena uniletee hapa.Pia nilikuuliza swali ambalo hujalijibu bado ambalo linasema hivi;
"Unajua Karly Mullis anachukuliaje suala la kwamba HIV anasababisha AIDS/UKIMWI?"
Hili ni muhimu sana maana huyu jamaa anajua kuliko wewe hivyo ni vizuri ukajua anasemaje hapa.Itakusaidia na wewe kujiuliza maswali mengi ili uachane na pseudo science waliyokuwekea kwenye vitabu walivyotunga hao wenyewe kwa malengo yao maalumu ambayo I bet huyajui.



NB:Unajua kwamba siku hizi katika NGOs za masuala ya HIV/AIDS kuna vitengo vya cervical cancer kwa wanawake?Je,unajua kwa nini waweke kitengo hicho pamoja na masuala ya HIV/AIDS?Is that coincidence or planned?
 

Attachments

Back
Top Bottom