Dawa ya mafua sugu

Dawa ya mafua sugu

Duuh nielekeze bas jinsi ya kupunguza makali na kero ya haya makitu

Chemsha maji halafu yaweke kwenye beseni au kisadolini.

Chukua Vicks, weka kwenye kijiko cha chai halafu ichanganye na hayo maji ya moto.

Chukua taulo, inamisha kichwa kwenye hilo beseni, vuta huo mvuke wa maji na Vicks huku ukiwa umefunika kichwa na taulo.

Fanya hivyo kama mara tano na ukimaliza jikandie hayo hayo maji. Jikande kifuani, shingoni, usoni, na kwenye pua.

Ukimaliza hayo tafuna karafuu halafu lala. Pia, kunywa supu yoyote ile ila iwe ya moto.

Ukiamka halafu hayo mafua bado yawe yanakusumbua sana nambie nikupe mbinu nyingine.

Kama nilivyokwambia hapo awali, mafua hayana tiba kabisa.

Huwa yanaisha yenyewe tu. Lakini zipo dawa na mbinu ambazo zinaweza kukupa nafuu ya muda.
 
weka kitunguu usiku kma ulivyoambiwa na tafuna tangawizi during the day..inasaidia
 
Shukrani
 
Kitunguu maji ndo dawa yake, tena upate vile vyeupe maana ni vikali sana, ule moshi ukiingia puani kazi imeisha, katakata kama unataka kupka then tafuna ili upate ule moshi
 
Hapo chagua moja.... vitunguu au mafua.

Kama vipi katakata vitunguu, weka kwenye kisosi pembeni ya kitanda. Lala.

Asubuhi usiponiambia ahsante babu yangu mpenzi ntajua huna shukrani.

Hataki mitishamba.
 
Anaejua njia rahisi ya kutibu mafua bila kutumia antibiotics au mitishamba naomba anijulishe maana nahisi kufakufa

Acha hayo maelezo yote uliyoelekezwa kama bado haujafanya kitu chochote! Tafuta limao kamulia tone tatu mpaka tano kwenye pua after km lisaa utakuwa mzima kabisa! Ila ninzuri ukitumia muda wa kulala maana yanakuwa makali zaidi usiku. Inauma ila sito sana but it kusaidia sana.
 
Chemsha maji halafu yaweke kwenye beseni au kisadolini.

Chukua Vicks, weka kwenye kijiko cha chai halafu ichanganye na hayo maji ya moto.

Chukua taulo, inamisha kichwa kwenye hilo beseni, vuta huo mvuke wa maji na Vicks huku ukiwa umefunika kichwa na taulo.

Fanya hivyo kama mara tano na ukimaliza jikandie hayo hayo maji. Jikande kifuani, shingoni, usoni, na kwenye pua.

Ukimaliza hayo tafuna karafuu halafu lala. Pia, kunywa supu yoyote ile ila iwe ya moto.

Ukiamka halafu hayo mafua bado yawe yanakusumbua sana nambie nikupe mbinu nyingine.

Kama nilivyokwambia hapo awali, mafua hayana tiba kabisa.

Huwa yanaisha yenyewe tu. Lakini zipo dawa na mbinu ambazo zinaweza kukupa nafuu ya muda.

Waganga Wa Jadi Na Wa Tiba Asilia Utawajua Tu.
 
Limao weka kwenye supu chai ya mkandaa au maji ya uvunguvungu kunywa mara kwa mara.
 
Acha hayo maelezo yote uliyoelekezwa kama bado haujafanya kitu chochote! Tafuta limao kamulia tone tatu mpaka tano kwenye pua after km lisaa utakuwa mzima kabisa! Ila ninzuri ukitumia muda wa kulala maana yanakuwa makali zaidi usiku. Inauma ila sito sana but it kusaidia sana.
Shukrani
 
Jamaani naombeni mnisaidie dawa ya mafua clonic sijui ndyo ya allergy sielewi maana sijawah pona mafua mwaka wa 10 sasa huu kila siku chafya na mimi mafua hayoo.

Na miaka inavyozidi kwenda nazidi kuwa sensitive na harufu ndgo ndogo tu na hata baridi pia hewa tu ile yenye ubaridi Inanifanya nipige chafya sana huku makoo yanawasha pua zangu hadi zimetanuka jamaani yaani nateseka sipo comfortable.

Anayejua dawa hata za asili jamaani.

Please mnisaidie.
 
1)Yawezekana una alergy na kitu jaribu kujichunguza mazingira yako labda vumbi au manyoya ya wanyama unaofuga. Au chakula fulani

2) Yawezekana ni infection tu na ikipata dawa itaisha
3) Wahi kwa daktari ila kinga ya kwanza ni kutathmini mazingira yako na chakula kabla ya kuanza kumeza dawa:

Dawa nzuri ya mafua ni kujifukiza kwenye mvuke wenye vicks : yani weka beseni la maji moto weka kijiko cha chai cha viks koroga kisha jifunike na taulo ukiinamia kiasi kwenye beseni uwe unavuta huo mvuke for 5-10 minutes. Pia penda kunywa maji yenye tangawizi na limao na asali kwa mbali. Kama unaweza pia chemsha supu ya mboga mboga (Vitunguu, Karoti, celery, mint) kishwa kunywa ikiwa moto .

Lastly: Fanya mazoezi : mara nyingi ukiuweka mwili katika hali ya joto yani ufanye zoezi la kukutoa jasho mafua hupungua sana , ukilala tu na kujilegeza basi kamwe hayaishi.

Get well Soon
 
Back
Top Bottom