Dawa ya mafua sugu

Dawa ya mafua sugu

1)Yawezekana una alergy na kitu jaribu kujichunguza mazingira yako labda vumbi au manyoya ya wanyama unaofuga. Au chakula fulani

2) Yawezekana ni infection tu na ikipata dawa itaisha
3) Wahi kwa daktari ila kinga ya kwanza ni kutathmini mazingira yako na chakula kabla ya kuanza kumeza dawa:

Dawa nzuri ya mafua ni kujifukiza kwenye mvuke wenye vicks : yani weka beseni la maji moto weka kijiko cha chai cha viks koroga kisha jifunike na taulo ukiinamia kiasi kwenye beseni uwe unavuta huo mvuke for 5-10 minutes. Pia penda kunywa maji yenye tangawizi na limao na asali kwa mbali. Kama unaweza pia chemsha supu ya mboga mboga (Vitunguu, Karoti, celery, mint) kishwa kunywa ikiwa moto .

Lastly: Fanya mazoezi : mara nyingi ukiuweka mwili katika hali ya joto yani ufanye zoezi la kukutoa jasho mafua hupungua sana , ukilala tu na kujilegeza basi kamwe hayaishi.

Get well Soon
Asante saaana mdau mm nimeshajichunguza allergy yangu ina include vtu vng kma vumbi etc lakin pia baridi allergy ile hewa tu ya ubaridi inanipa mafua ssa na mm naishi kwenye baridi hakuna dawa ya moja kwa moja kumaliza tatzo kbsa
 
Pia hiyo vicks ya kuweka kwenye maji inauzwa wapi??...au zile zile zenye mfumo wa pili kma
 
Tumia vitunguu swaumu fresh,unaweza kufanya dozi,punje 3asubuhi na 3jioni.unaweza kutafuna,kumeza kama vidonge au kubrend kwenye juice.Ni msaada sana.
Utakua unanuka vitunguu bt ni uponyaji.
Jaribu kwa wiki 2 mfululizo

Jamaani naombeni mnisaidie dawa ya mafua clonic sijui ndyo ya allergy sielewi maana sijawah pona mafua mwaka wa 10 sasa huu kila siku chafya na mimi mafua hayoo.

Na miaka inavyozidi kwenda nazidi kuwa sensitive na harufu ndgo ndogo tu na hata baridi pia hewa tu ile yenye ubaridi Inanifanya nipige chafya sana huku makoo yanawasha pua zangu hadi zimetanuka jamaani yaani nateseka sipo comfortable.

Anayejua dawa hata za asili jamaani.

Please mnisaidie.
 
Bora Wewe Una Mafua Mkuu Na Unaweza Kula ILA Mwenzio Mimi Nina Maumivu Makubwa Na Makali Na Nashindwa Hata Kula Chochote! Ila Pole Sana Kwa Kusumbuliwa Na Mafua Mkuu Na Nina Imani Kuwa Umeshapata Ushauri Wa Kitabibu Humu Jamvini.
 
Kila kitu ni shida mkuu hamna ugonjwa Were wa afadhali una shida gani mkuu inayokufanya ushindwe kula?...polee sanaa
 
Tumia vitunguu swaumu fresh,unaweza kufanya dozi,punje 3asubuhi na 3jioni.unaweza kutafuna,kumeza kama vidonge au kubrend kwenye juice.Ni msaada sana.
Utakua unanuka vitunguu bt ni uponyaji.
Jaribu kwa wiki 2 mfululizo
asantee mmari
 
Kila kitu ni shida mkuu hamna ugonjwa Were wa afadhali una shida gani mkuu inayokufanya ushindwe kula?...polee sanaa

Ni Kweli Mkuu Na Upo Sahihi Na Nimekupata. Kuhusu Tatizo Langu Nenda Katika Jukwaa La JF Doctor Nimeweka Uzi Wa Kinachonisibu Mkuu.
 
kama ni allergy basi dawa muafaka kwako ni avamys nasal spray ambayo unaweza ukawa unatumia kila siku asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zako.uzuri wa hiyo dawa unaweza ukatumia kwa muda mrefu with minimal side effects. cha msingi wakueleweshe vizuri namna ya kutumia.

nina uhakika tatizo lako litabaki historia
 
Kamulia limao puani tone mbili mpaka tano km nibmafua ya kawaida utaagana nayo ndani ya saa 24 ila matokeo utaanza kuyaona tangia dk ya kwanza inauma ila siyo sana. Ni dawa nzuri ya mafua sugu.
 
HAya mafua ya namana hii imefika mahali nimeshayazoea kabisa. Siku ikitokea sina mafua naona ajabu kweli. Pole Nami napitia humu nione kama naweza pata tiba mbadala. Allergy test nilishafanya ninazo nyingi kwelikweli na masharti yamenishinda labda nihame Tanzania ndo yanaweza kuisha.
 
Myhem, naweza kuipata hio dawa kwenye hizi pharmacy za kawaida?
 
Pole sana iseee mie nimeumwa mafua sasa huu ni zaidi ya mwaka wa 20.Miaka yote hata sasa naandika hapa nimebanwa mafua ya ajabu na Chafya ndo usiseme nikiamka utajua tu nimeamka maana ni chafya na kubanwa mafua na makamasi mepesi. Nilienda Mhimbili kuwaona wataalamu wa pua na koo nikawana udhulia clinic ikasaidia ila nikapewa Avamys na Nasal spray kweli zilinisaidia sana.ila sasa zimenizoea na hazina msaada tena.

Shida ni kwamba kuna wakati unakosa kujiamini ukiwa na mpenzi wako maana husikii harufu kabisa.na mafua yana leta kiharufu flan inaweza kuwa kero kwa mwenza wako. na pindi ukipita kwenye maduka ya nguo ni shida sana maana utapiga chafya za ajabu sana na ukiingia nyumba yenye vumbi ni chafya yaani ni maisha ya taabu tupu kuumwa mafua.
 
Poleni sana wenye shda kama hiyo mafua yanakera sana aisee
 
Kamulia limao puani tone mbili mpaka tano km nibmafua ya kawaida utaagana nayo ndani ya saa 24 ila matokeo utaanza kuyaona tangia dk ya kwanza inauma ila siyo sana. Ni dawa nzuri ya mafua sugu.
Asante kwa ushauri
 
kama ni allergy basi dawa muafaka kwako ni avamys nasal spray ambayo unaweza ukawa unatumia kila siku asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zako.uzuri wa hiyo dawa unaweza ukatumia kwa muda mrefu with minimal side effects. cha msingi wakueleweshe vizuri namna ya kutumia.

nina uhakika tatizo lako litabaki historia
Asante kw ushauri
 
Kamulia limao puani tone mbili mpaka tano km nibmafua ya kawaida utaagana nayo ndani ya saa 24 ila matokeo utaanza kuyaona tangia dk ya kwanza inauma ila siyo sana. Ni dawa nzuri ya mafua sugu.

umenifanya nicheke kwa sauti ...hahahahaaaaaa.....japo Mimi mwenyewe ni muhanga was mafua
 
jamadi bibi yamidibada hadi najidwa kuhema di kaugojwa kadogo ila kanakeda sana.hadi nimeijiwa twaga za kuogea duu.
 
Napenda kufahamu dawa ya mafua kwa watoto wachanga wiki 3.
 
duh aisee pole binafsi sifahamu za hospital ila yakimbana sana twanga kitunguu swaumu umpake miguuni kwenye nyayo
 
Back
Top Bottom