Dawa ya mafua sugu

Dawa ya mafua sugu

Chukueni mbilimbi mzimenye halafu tumbukizeni puani wkt wa kulala mkiamka mambo yatakuwa poa
Mlete mrejesho asubuhi
 
Asante saaana mdau mm nimeshajichunguza allergy yangu ina include vtu vng kma vumbi etc lakin pia baridi allergy ile hewa tu ya ubaridi inanipa mafua ssa na mm naishi kwenye baridi hakuna dawa ya moja kwa moja kumaliza tatzo kbsa
Ulifanikiwa kupona?
 
Back
Top Bottom