kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Habari zenu JF, naomba msaada wa dawa kiboko ya mafua iwe ya traditional au ya kisasa:
Nenda duka la dawa nunua cetrizine umalize hilo tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu JF, naomba msaada wa dawa kiboko ya mafua iwe ya traditional au ya kisasa:
Mkuu u made my day !!!Nusa makalio ya mbuzi
Mbilimbi ni nini ndugu?Chukueni mbilimbi mzimenye halafu tumbukizeni puani wkt wa kulala mkiamka mambo yatakuwa poa
Mlete mrejesho asubuhi
Ulifanikiwa kupona?Asante saaana mdau mm nimeshajichunguza allergy yangu ina include vtu vng kma vumbi etc lakin pia baridi allergy ile hewa tu ya ubaridi inanipa mafua ssa na mm naishi kwenye baridi hakuna dawa ya moja kwa moja kumaliza tatzo kbsa