Dawa ya mapenzi...

nico winto

Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
34
Reaction score
27
Wadau hivi hizi dawa za mapenzi wanaouza wamasai zinafanya kazi kweli? Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa ukitumia zile hata demu awe mgumu vipi atakubali tu.

Je, kuna ukweli wowote na hazia madhara?
 
Upo wapi, nnazo dawa za mapenzi bei nafuu na hazina madhara, dawa za uhakika
 
Jaribu uje kuleta feedback... unauliza humu kwani sisi ndiyo wauzaji...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…