nico winto
Member
- Jul 2, 2017
- 34
- 27
Wadau hivi hizi dawa za mapenzi wanaouza wamasai zinafanya kazi kweli? Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa ukitumia zile hata demu awe mgumu vipi atakubali tu.
Je, kuna ukweli wowote na hazia madhara?
Je, kuna ukweli wowote na hazia madhara?