Dawa ya mapenzi...

Dawa ya mapenzi...

nico winto

Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
34
Reaction score
27
Wadau hivi hizi dawa za mapenzi wanaouza wamasai zinafanya kazi kweli? Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa ukitumia zile hata demu awe mgumu vipi atakubali tu.

Je, kuna ukweli wowote na hazia madhara?
 
Wanaume wa dar endelea kuvishwa Pete
tapatalk_1560276590971.jpeg
 
Upo wapi, nnazo dawa za mapenzi bei nafuu na hazina madhara, dawa za uhakika
 
Back
Top Bottom