Dawa Ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu. Je Ni Ulaghai?

Mengi kuhusu babu yanasemwa,yatasemwa.....but kila kukicha,watu wa mataifa yote na kada mbalimba wanazidi kumiminika kwa babu...
Na kwa vile Serikali imeridhia!!,,,,,,,so what do you expect???? We baki tu imani yako ya kutokwenda kwa babu,,,,,ata ivo is because huna matatizo!! But your friends,relatives and few to mention are attending to Samunge daily!
 
Sasa ulikuwa wapi wakati wote huu "Sheikh" Yahya akitesa na utabiri/utabibu wake feki wa "kusoma" nyota na majini ambao unaenezwa kwenye National Media zote (Tena kwa miaka lukuki, nadhani tokea wewe ukinyonya kwa mamako) hadi uanze kumkomalia "Babu wa Loliondo" wa hivi majuzi tu?

Akifanya "Sheikh" utapeli wake na kujizolea umaarufu na utajiri, poa. Lakini akiingia "bona fide" Mchungaji fulani kwa vigezo hivyohivyo, noma, au siyo?

Halafu onyesha maada uliyoanzisha humu ndani kumshutumu na kumlaumu "Sheikh" Yahya na wenzake wenye imani kama yako wanaojifanya miungu hadi kudiriki kutabiri vifo vya watu kiholela kwa sababu zao binafsi za kisiasa.
Yahaya Hussein, Ambilikile Mwasapile na wewe mwenyewe wote kundi moja tu...! Mushriki
 
Nina uthibitisho Dawa za Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu Ni Ulaghai Mtupu.

Watu wanaokufa baada ya kupata Kikombe ni Kubwa tu.

Babu Akamatwe asimamishwe kazi anayofanya.

Nimemchukia sana.
 
Babu hajawahi kusema anazuia kifo. Kumkamata Babu ni sawa na kuwakamata madaktari pale Muhimbili, asiyehitaji tiba ya babu kama wewe Rev Masanilo hawana sababu ya kufunga safari ya kwenda Loliondo.

Mkitaka kumkamata babu anzeni na EL, Chenge, RA, JK, Mkapa na mafisadi wengi ambao kila kukicha wanaua uchumi wa hii nchi.
 
Babu amewapa watu tumaini na dawa zake! Kumbuka ni Janga la taifa wale wote walioacha ARV basi ukali wa AIDS utakuja kwa Kasi kubwa. Suala ni kuzuia kifo dawa zitibu

I hate babu Mwasapile azuiwe anachokifanya ni mazingaobwe.
 
Mkuu ili ni janga la kitaifa kwa kweli.

Na hawa wanao tetea eti kuwa babu hazuii kifo na kufananisha na madaktari mahospitalini nadhani hawa watu wanapaswa kupimwa akili zao.

Vipi mtu mwenye akili zako ufananishe dawa za babu na dawa zinazopatikana mahospitalini.

Hao madaktari wamesema au kutangaza kuwa wameoteshwa na Mungu?

Hawajui kuwa mtu akisha watangazia waumini wake kuwa kaoteshwa na Mungu, ni kuwachota kiakili kwa kutumia imani za watu, ni sawa na kuwathibitishia kwa asilimia zote kuwa kuna uponyaji na si kinyume chake.

Huyu mzee anapaswa kuamriwa kusimamisha udumu zake mara moja.
 
Kwani Babu aliwaambia waache kutumia ARV? In fact he told people to continue taking their medication.
 
SWALA LIPO IVI UNATAKIWA UKINYWA DAWA ACHANA NA MAMBO YA IBILISI lakin UNAKUTA M2 KAPIGA KIKOMBE LEO KESHO KABINTI KA MIZINGA UJUE HAPO HUPONI NA NDOMANA KABLA YA HUDUMA BABU HUTOA SEMINA NA HURUHUSU MASWALI NA PIA HUWA ANASISITIZA UKINYWA DAWA ACHANA NA MAOVU LAKINI WATU HAWASHIKIKI AKITOKA HUKO NDO KWANZA ANAPITIA BAR THEN USIKU PINI KAMA KAWA NA VIDEMU AU VIDUMU(bi mdogo) MWENDO MMOJA UNATEGEMEA NIN HAPO??

MIMI NINAUSHAHIDI 100% MTU KAPONA UKIMWI KABISA ANACHETI NA NI MEMBER WA UMATI LAKINI SASA KAENDA LOLIONDO MWEZI WA TATU AKAENDA KUPIMA AGAKANI MBEYA YUPO SHWARI ILA KAAMBIWA URUDIE MWEZI WA SABA YAANI BAADA YA MIEZI MITATU TENA KUPITA HILO NINA UHAKIKA.LAKINI WALIO WENGI HAWAENDI KUCHEKI NA HATA WAKIENDA WANAOGOPA KUTOA MAJIBU YAO KUTOKANA NA WATU AMBA KAWAAMBUKIZA KABLA HAJAENDA WATAJUA KUWA JAMAA KUMBE ALIKUWA MGONJWA WA VVU

PIA NAFIKIRI KAMA ISINGEKUWA TIBA BASI FOLENI INGEKUWA HAIPO KWA MARA NYINGI KIZURI CHAJIUZA WANAO ENDA KULE SIO MAMBUMBUMBU WANA VIGEZO VYA WAKIO PONA NDO MANA FOLENI HAIIISHI TOKA BABU KAANZA HADI LEO KAMA INGEKUWA FIKSI WATU WALISHAACHA MAPEMA KWENDA HUKO HUJIULIZII???

KITU CHENGINE MFANO UKIENDA KULE UKIWA NA MAMBO YA KICHAWI HAPO NDO KABISAAAAA UNACHOKOZA NYUKI WENGI WAMEKUFA KWANI ANAENDA KUNYWA KIKOMBE AKIRUDI NAENDEKEZA UWANGA NDO WAFA HATA WIKI HAIISHI TUSHA ZIKA WATU KBAO WA STAILI HIYO.
 
Tukichambua ki-falsafa, ni kuwa KIKOMBE CHA BABU kama kimetoka kwa Mungu, basi kimeletwa kwa nia nzuri ya ku_eliminate the EXCESS/unneeded i.e useless beings, hivi ndivyo nature inavyofanya kazi ya kuondoa viumbe visivyohitajika, kama wewe ni excess ktk dunia hii, basi utajikuta tu unaenda kushugulikiwa kwa babu, tena kwa gharama kubwa.
 
Hili ni taifa la wajinga kushabikia mambo ya viini macho! Natoa wito babu akamatwe
 
Jamani eheee binafsi siamini hyo dawa ya babu kama kweli inatibu Huo ukimwi. Lakini tusimlaumu babu tu.

Nani aligundua muarabauni unatibu malaria? Inawezekana aliyegundua naye alioteshwa? From babu aliposema dawa yake ni ya kiimani na viini macho vya kutoshwa serikali ilitakiwa kutumia Mkemia wa seikali na TFDA wapime dawa "aliyooteshwa" babu kisayansi kama

  • chemical contentt zake ni nini
  • Kama haina madhara ya muda mrefu kwa binadamu
  • Wachukue sample za wagonjwa waliotumia na ambao wanataka kutumia na kulinganisha vipimo vyao kabla na baada ya muda.
Hata kama hiyo dawa haitibu ukiwmi inawezekana kisayansi kuna kitu inasaidia kiasia fulani au kwa wagonjwa walio hatua fulani au inawezekana hata ina madhara ya muda mrefu......

KItendawili cha dawa ya babu japo kasema ni imani kilitakiwa kutolewa maelezo ya kisayansi na seriali wa sauti kubwa ili wananchi wajue zaidi ya imani dawa ina msaada au madhara gani.

But siwezi kushangaa hata ofisi ya mkemia mkuu na wakala wa chaula na mawada hwajui chemical compostion ya hiyo dawa.
 
wewe mbona upo nyuma sana kitaarifa?hebu tafuta threads kuhusu babu uzisome.
 
ndugu,kuna m2 mmoja cmkumbuki ni nani alikuja na ku2eleza kuwa alienda na hajapona pia aka2pa na ushahidi wa baadhi ya ndugu na jamaa zake ambao hawakupona pia,. Labda 2pate ambae amepona...

Wana JF,
Nakumbuka tuliambiwa kuna wa2 walijitolea kwenda Lolly kwa udhamini wa wizara ya afya ili
kupata ukweli wa uponyaji kama reseach je wameishia wapi ?.
 
SWALA LIPO IVI UNATAKIWA UKINYWA DAWA ACHANA NA MAMBO YA IBILISI lakin UNAKUTA M2 KAPIGA KIKOMBE LEO KESHO KABINTI KA MIZINGA UJUE HAPO HUPONI NA NDOMANA KABLA YA HUDUMA BABU HUTOA SEMINA NA HURUHUSU MASWALI NA PIA HUWA ANASISITIZA UKINYWA DAWA ACHANA NA MAOVU LAKINI WATU HAWASHIKIKI AKITOKA HUKO NDO KWANZA ANAPITIA BAR THEN USIKU PINI KAMA KAWA NA VIDEMU AU VIDUMU(bi mdogo) MWENDO MMOJA UNATEGEMEA NIN HAPO??

MIMI NINAUSHAHIDI 100% MTU KAPONA UKIMWI KABISA ANACHETI NA NI MEMBER WA UMATI LAKINI SASA KAENDA LOLIONDO MWEZI WA TATU AKAENDA KUPIMA AGAKANI MBEYA YUPO SHWARI ILA KAAMBIWA URUDIE MWEZI WA SABA YAANI BAADA YA MIEZI MITATU TENA KUPITA HILO NINA UHAKIKA.LAKINI WALIO WENGI HAWAENDI KUCHEKI NA HATA WAKIENDA WANAOGOPA KUTOA MAJIBU YAO KUTOKANA NA WATU AMBA KAWAAMBUKIZA KABLA HAJAENDA WATAJUA KUWA JAMAA KUMBE ALIKUWA MGONJWA WA VVU

PIA NAFIKIRI KAMA ISINGEKUWA TIBA BASI FOLENI INGEKUWA HAIPO KWA MARA NYINGI KIZURI CHAJIUZA WANAO ENDA KULE SIO MAMBUMBUMBU WANA VIGEZO VYA WAKIO PONA NDO MANA FOLENI HAIIISHI TOKA BABU KAANZA HADI LEO KAMA INGEKUWA FIKSI WATU WALISHAACHA MAPEMA KWENDA HUKO HUJIULIZII???

KITU CHENGINE MFANO UKIENDA KULE UKIWA NA MAMBO YA KICHAWI HAPO NDO KABISAAAAA UNACHOKOZA NYUKI WENGI WAMEKUFA KWANI ANAENDA KUNYWA KIKOMBE AKIRUDI NAENDEKEZA UWANGA NDO WAFA HATA WIKI HAIISHI TUSHA ZIKA WATU KBAO WA STAILI HIYO.

Nakuunga mkono kabisa! Na inabidi tubadilike kama Mungu anavyotaka..... sio mtu unaenda kwa babu na bado unatenda yasiompendeza Mungu.
Tuwe na imani, Tutende yalio mema na Mungu atatubariki na hiyo dawa itafanya kazi!
Imani iwe pamoja na matendo na hapo tutapona!
 
SWALA LIPO IVI UNATAKIWA UKINYWA DAWA ACHANA NA MAMBO YA IBILISI lakin UNAKUTA M2 KAPIGA KIKOMBE LEO KESHO KABINTI KA MIZINGA UJUE HAPO HUPONI NA NDOMANA KABLA YA HUDUMA BABU HUTOA SEMINA NA HURUHUSU MASWALI NA PIA HUWA ANASISITIZA UKINYWA DAWA ACHANA NA MAOVU LAKINI WATU HAWASHIKIKI AKITOKA HUKO NDO KWANZA ANAPITIA BAR THEN USIKU PINI KAMA KAWA NA VIDEMU AU VIDUMU(bi mdogo) MWENDO MMOJA UNATEGEMEA NIN HAPO??

PIA NAFIKIRI KAMA ISINGEKUWA TIBA BASI FOLENI INGEKUWA HAIPO KWA MARA NYINGI KIZURI CHAJIUZA WANAO ENDA KULE SIO MAMBUMBUMBU WANA VIGEZO VYA WAKIO PONA NDO MANA FOLENI HAIIISHI TOKA BABU KAANZA HADI LEO KAMA INGEKUWA FIKSI WATU WALISHAACHA MAPEMA KWENDA HUKO HUJIULIZII???

KITU CHENGINE MFANO UKIENDA KULE UKIWA NA MAMBO YA KICHAWI HAPO NDO KABISAAAAA UNACHOKOZA NYUKI WENGI WAMEKUFA KWANI ANAENDA KUNYWA KIKOMBE AKIRUDI NAENDEKEZA UWANGA NDO WAFA HATA WIKI HAIISHI TUSHA ZIKA WATU KBAO WA STAILI HIYO.
Kauk! Uandishi wako wa kuandika kwa herufi kubwa ni ishara ya kuwa wewe unapiga kelele, hizo ndio mojawapo ya principles za uhandishi wa kwenye mitandao.

MIMI NINAUSHAHIDI 100% MTU KAPONA UKIMWI KABISA ANACHETI NA NI MEMBER WA UMATI LAKINI SASA KAENDA LOLIONDO MWEZI WA TATU AKAENDA KUPIMA AGAKANI MBEYA YUPO SHWARI ILA KAAMBIWA URUDIE MWEZI WA SABA YAANI BAADA YA MIEZI MITATU TENA KUPITA HILO NINA UHAKIKA.LAKINI WALIO WENGI HAWAENDI KUCHEKI NA HATA WAKIENDA WANAOGOPA KUTOA MAJIBU YAO KUTOKANA NA WATU AMBA KAWAAMBUKIZA KABLA HAJAENDA WATAJUA KUWA JAMAA KUMBE ALIKUWA MGONJWA WA VVU
Tukija kwenye mada, quote hapo juu ni jinsi gani unavyokuwa ni mchache wa fikra kihasi ya kuleta utetezi dhaifu husio na mantiki hata kidogo. Taarifa tulizo nazo watu wengi, huyo babu yenu inasemekana utoa kikombe mara moja tu, na si zaidi ya hapo, pia kuhusu hao wanao ogopa hii hadithi yako si ya kweli, kwa sababu kama kweli mtu alikuwa na HIV, kisha kapima na kuonekana kuwa amepona, si ndio itakuwa vema kwa yeye kuonesha mfano kwa wale ambao aliwaambukiza nao wapate nafasi ya kwenda, na pia si ndio itazidisha imani ya watu wengine, wanachoficha ni nini. Na tumeambiwa kwenye vitabu vya dini tutangaze utukufu wa Mwenyezi Mungu, kwa nini yeye afiche. hii ni kuonyesha kuwa hajapona na yupo anaishi kwa matumaini.

Hizi ngano zenu hazina mashiko yoyote kiutetezi, watu haponi mnasingizia kuwa hawana imani, kama imani pekee ndio yenye kuponyesha basi kunyweni aspro au panadol basi, kama mtapona hayo maradhi yenu.

Wacheni kuchezea maisha ya watu.
 
Mkuu ili ni janga la kitaifa kwa kweli.

Na hawa wanao tetea eti kuwa babu hazuii kifo na kufananisha na madaktari mahospitalini nadhani hawa watu wanapaswa kupimwa akili zao.

Vipi mtu mwenye akili zako ufananishe dawa za babu na dawa zinazopatikana mahospitalini.

Hao madaktari wamesema au kutangaza kuwa wameoteshwa na Mungu?

Hawajui kuwa mtu akisha watangazia waumini wake kuwa kaoteshwa na Mungu, ni kuwachota kiakili kwa kutumia imani za watu, ni sawa na kuwathibitishia kwa asilimia zote kuwa kuna uponyaji na si kinyume chake.

Huyu mzee anapaswa kuamriwa kusimamisha udumu zake mara moja.

Janga la taifa ni kuwa na kiongozi kama JK ambaye anaomgozwa na mafisadi kuiba pesa za walipa kodi na sio Babu wa Samunge. Wa kupimwa akili ni wewe unakubali vipi kuongizwa na mafisadi?

Sasa babu aamriwe kusimamishwa na nani mafisadi?

Hili ni taifa la wajinga kushabikia mambo ya viini macho! Natoa wito babu akamatwe

Akamatwe na nani? mafisadi wanaoiba kila kukicha? Au wale wanaopata faida na dawa za ukimwi kutoka USA? Walalamishi wengi ni wenye ukimwi na wanatajirika na dawa kutoka USA kwa njia za kitapeli.
 
Back
Top Bottom