Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana siku hizi! waganga nao sasa hasa wa mjini wanatumia mwanya huo kuibia watu kwa kuchanganya madude madude na Viagra! Pia wale watu wa mikoani wanapata shida kupata mchuzi wa pweza ambapo kakipande ka pweza kana bei kama nini?

Ukitaka kujua huna nguvu za kiume, pima umbali wa mita 3 alafu kojoa ule mkojo wa ahsubuhi ukiona hauvuki alama ya umbali huo basi ujue hata wakati wa ku-ejaculate zile kitu mkeo hazisikii zikiingia nakumtia mwasha washa! mwingine akiingia tu anamaliza mkewe ndio kwanza anahisi kuanza huku mzee risasi ndio umeagiza!

TUMIA HII DAWA IKUOKOE: Vitunguu maji + siagi + asali

Hivi vitu havina gharama lakini ni dawa wewe fanya hivyo one wiki njoo hapa utaniambia siku hizi shemeji anaomba poo!

kama inakuchanganya tumia maziwa ya ng'ombe wa kienyeji na asali mbichi just kijiko kimoja kwenye glass moja ya maziwa alafu tafuna kipande cha kitunguu maji meza maji yake! tengeneza kila unapo taka kutumia! tumia kwa siku mara mbili kwa muda wa wiki nzima then njoo hapa toa ushuhuda wako!

Jamani ukitumia dawa hii asali kazi yake ya kwanza ni kusafisha hilo tumbo lako kama kuna uchafu na njia pekee ya kuutoa ni kuharisha hivyo ntakushangaa usipotoa jibu hilo! kama hutaharisha ujue uchafu tumboni kwako hakuna, baada ya hapo dawa huanza kufanya kazi iliyokusudiwa! na dawa nzuri jamani tengeneza mwenyewe usipende kutengenezewa, naombeni mrejesho wenu ila naamini mwisho wasiku ukifuata mashariti lazima upone!

N:B
Epuka kununua dawa za kuchanganya changanywa huku hujui ni vitu gani vimechanganywa mnaibiwa wanachanganya na VIAGRA. Kwa matatizo mengine nitafuteni PM kama ugumba, uvimbe wa kizazi, kutoingia hedhi, kuto pata choo kwa muda mrefu, kulala kwa kupitiliza, kusahau n.k hunilipi chochote na vyote unajitengenezea mwenyewe hii ndio faida ya mtandao bwana!

Asali original ukiweka kwenye maji inaenda hadi chini lakini iliyochakaliwa ukiweka tu inatapakaa kwenye maji! tumia asali original!



hii ndio orginal, ili kujua asali original
 
Haya baba ngoja nikajaribu tarajia mrejesho baada ya wiki moja
 

kwahio hvyo vitu unavfanyaje?
 
Haujafafanua mkuu, unachanganya pamoja au unakula kimojakimoja vikachanganyikie tumboni?!
 
Mkuu maelezo ya kutosha tafadhali. unachanganya unapika ama unatengeneza juice?. Ufafanuzi Mkuu

Kijiko kimoja cha asali + kijiko kimoja cha siagi + kijiko kimoja cha juisi ya kitunguu maji kwa siku mara mbili! wiki moja tu mkuu umepona!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtaalam mwenyewe bado anakibao cha Learner(L).

Vitunguu maji +Siagi +Asali = ____

Unavifanyaje sasa?
1-Kujichua navyo.
2-Kutafuna.
3-Kutwanga Kisha kumix kwenye
maji ya kuoga.
4-Kujifukiza.

Hebu nyoosha maelezo ueleweke mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…