julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
- #41
kama mishipa iko fresh mkuu inaruka!Mkuu mita tatu mbona kama parefu sana!!!!?
Mkojo utaweza kuruka mita tatu kweli???, kesho asubuhi nitajaribu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mishipa iko fresh mkuu inaruka!Mkuu mita tatu mbona kama parefu sana!!!!?
Mkojo utaweza kuruka mita tatu kweli???, kesho asubuhi nitajaribu.
Dawa ya nguvu za kiume + performance kula nusu tikiti maji kama 30 min before kipyenga
Wife alisha jua siku akija na tikiti huwa ananionyesha kwa kidole kimya kimya halafu mimi namkonyeza! Watoto wasishtukie
Hiyo simple mkuu, piga punyeto kila siku mkuu!
Mkuu mita tatu mbona kama parefu sana!!!!?
Mkojo utaweza kuruka mita tatu kweli???, kesho asubuhi nitajaribu.
Safiii sana
Hiyo simple mkuu, piga punyeto kila siku mkuu!
nyingine hii magadi +unga wa soda +amira
tupia kisha lete mlejesho
Mmh umesahau na pilipili mbuzi mkuu!
Mtaalam mwenyewe bado anakibao cha Learner(L).
Vitunguu maji +Siagi +Asali = ____
Unavifanyaje sasa?
1-Kujichua navyo.
2-Kutafuna.
3-Kutwanga Kisha kumix kwenye
maji ya kuoga.
4-Kujifukiza.
Hebu nyoosha maelezo ueleweke mkuu!
Umeona mkuu, ila asubuhi najaribu halafu nitaleta mrejesho.Hata mimi nina wasiwasi mkubwa na kipimo hiki. Naamini karibu 99% ya watu wanakuwa na mapungufu.
Mita 3 ni ndefu sana mzee, ni sawa na kulazimisha mkojo ukimbie mbio fupi.
I am going to try.kama mishipa iko fresh mkuu inaruka!
Sometimes tunazidisha machezo jamani.Athari za kukimbia masomo ya science hazifichiki..Unaijua projectile yenye distance ya mita tatu wewe..?
Just a joke wakati unampa za ukweli ukweli!!!SAMAHANI mamito Munkari, hii thread inakuhusu wangu ama, umbea wa kwapa kuvuja jasho kwa mzigo ulio kichwani (just a joke)