Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Nimejaribu kutumia hicho kipimo cha kurusha mkojo nimeishia tu kujamba kwa nguvu. Naomba na Gogle kama unanipata hapo ulipo ulete mrejesho kwa sababu wewe umetahiri juzijuzi inawezekena pipe yako inarusha sana.

Daaah...!!!
 
Last edited by a moderator:
Watu wazito kuelewa..!? Hii div. Five bila Shaka. Umeshaambiwa kula kwa afya yako.

We ndo Pim.bi kabisa,usiwe unakurupuka ku-judge mtu bila kutumia akili!

Kwa taarifa yako Mimi nime-comment saa 07:36pm the post was last edited at 08:05pm halafu wewe unanishobokea saa 09:44pm.

Je uliyaona mapungufu ya original version na hii thread kabla haijawa-edited?

The more you talk,the more people recognize your foolishness!!

Unabahati nimekujibu....
 
Sometimes tunazidisha machezo jamani.

Japokuwa mleta mada amechemka kwenye huo urefu wa mita 3, lakini sijaona sababu ya wewe kuanza kumponda kuwa alikimbia masomo ya sayansi.

Lakini pia ni shule gani hiyo ambayo ulitajiwa aina za projectile zote na distances zinazocover Pindi zikirushwa?

Tusitumie topics za pcm na pcb form 6 kukatisha tamaa wenzetu wanaoleta suluhu za matatizo yanayoisumbua jamii yetu.

.............Neno!
 
Nimejaribu kutumia hicho kipimo cha kurusha mkojo nimeishia tu kujamba kwa nguvu. Naomba na Gogle kama unanipata hapo ulipo ulete mrejesho kwa sababu wewe umetahiri juzijuzi inawezekena pipe yako inarusha sana.

Ngoja niupitie huu Uzi afu nitoe mrejesho
 
Last edited by a moderator:
hilo ni tatizo la kisaikologia dawa yake ni ushauri nasihii basi utahangaika sana na dawa mwisho wake utajiumiza .Nashauri kama una tatizo muulize mke wako maana yeye ndiye anapima utendaji wako vinginevyo unakuwa unajishuku tu.
 
Hata mimi nina wasiwasi mkubwa na kipimo hiki. Naamini karibu 99% ya watu wanakuwa na mapungufu.
Mita 3 ni ndefu sana mzee, ni sawa na kulazimisha mkojo ukimbie mbio fupi.

lol hii imenichekesha kweli
 
Tunashukuru kwa mleta uzi, utawakomboa wengi, lakini maelezo ya ziada yanahitajika, tafadhari tusaidie, usichoke. Siagi zipo aina nyingi, kuna siagi ya mkate, Blue Band, Tan Bond, nk na kuna siagi ya karanga, ambayo inatumika kwa mkate na kuunga mboga mboga, Je ipi inatumika ktk hili linalojadiriwa hapa..? Taf nielimishwe kwa faida ya wengi.
 
Nimejaribu kutumia hicho kipimo cha kurusha mkojo nimeishia tu kujamba kwa nguvu. Naomba na Gogle kama unanipata hapo ulipo ulete mrejesho kwa sababu wewe umetahiri juzijuzi inawezekena pipe yako inarusha sana.

jaribu ahsubuhi mkuu kabla hujakojoa kojo la kwanza lile mkuu! kama halivuki duh majanga pressure ni ndogo hivyo mama watoto huwa hasense kabisa manii zinavyo ingia na kuishia!
 
Tunashukuru kwa mleta uzi, utawakomboa wengi, lakini maelezo ya ziada yanahitajika, tafadhari tusaidie, usichoke. Siagi zipo aina nyingi, kuna siagi ya mkate, Blue Band, Tan Bond, nk na kuna siagi ya karanga, ambayo inatumika kwa mkate na kuunga mboga mboga, Je ipi inatumika ktk hili linalojadiriwa hapa..? Taf nielimishwe kwa faida ya wengi.
Hapa kila kitu ni lazima kiwe fresh sio manufactured kutoka kiwandani! tunazungumzia siagi itokanayo na samuli ya maziwa ya ng'ombe! kama kabisa huwezi kuitengeneza chukua tu glass moja ya maziwa ya ng'ombe wa kienyeji weka kijiko kimoja cha asali koroga kunywa alafu chukua kipande cha kitunguu tafuna meza maji yake! mara mbili kwa siku ndani ya wiki moja njoo toa shukurani hapa jukwaani!
 
Dawa ni moja tu.... Mazoezi.
Je mazoezi gani? (kunyanyua vyuma, kukimbia, kunyoosha viungo, ...). Weka wai ni aina gani ya mazoezi.
Kuna dawa aina nyingi, ugonjwa ni mmoja.
 
Je mazoezi gani? (kunyanyua vyuma, kukimbia, kunyoosha viungo, ...). Weka wai ni aina gani ya mazoezi.
Kuna dawa aina nyingi, ugonjwa ni mmoja.

Mazoezi yeyote yanayokupa pumzi, but yasiwe ya kuongeza uzito.
 
Kwani nguvu za kiume ni nini wakuu! A.kubeba mizigo mizito kama makuli.
B. Kupiga bao zaidi ya 2
c.kulast longer kwa bed(kutumia dakika nyingi b4 ejaculation).
D.kuwa na uwezo wa kutungisha mimba
e.none of the above?
Je unaweza ukawa na b ukakosa d?
 
Back
Top Bottom