julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
- #81
Sometimes tunazidisha machezo jamani.
Japokuwa mleta mada amechemka kwenye huo urefu wa mita 3, lakini sijaona sababu ya wewe kuanza kumponda kuwa alikimbia masomo ya sayansi.
Lakini pia ni shule gani hiyo ambayo ulitajiwa aina za projectile zote na distances zinazocover Pindi zikirushwa?
Tusitumie topics za pcm na pcb form 6 kukatisha tamaa wenzetu wanaoleta suluhu za matatizo yanayoisumbua jamii yetu.
mkuu mwenyewe nilisoma PCM wala huo mkojo hakuna kitabu kimesema kuwa ni mfano wa projectile! achana na hiyo advanced physics ya A-level, kuna fundamental physics for engineers, basic physics for engineers na engineering physics watu wamesoma sasa hicho kisub-topic kikufanye uje kujipambanua hapa unaijua science!
Hapa ndio ukifika unaona kuna haja ya mfumo wa elimu kubadilika mkojo kufananishwa na projectile ni uwezo mdogo kufikilia!!!! Afrika hatutakaa tuendeleeeeee kama wana science ndio hawa!!!!!!!!!!!!!!