Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

..konyagi inakufanya ....utumie DK 30 - 50 kufika kileleni
 
Jamani mimi ni mkulima mzuri wa chainizi na huwa napenda kuzila sana kwani chakula kikiandaliwa bila chainizi pembeni huwa sifurahii mlo huo.lakini nimesikia kuwa mboga hii inapunguza nguvu za kiume ni kweli?

hapana ,chainisi inaongeza nguvu za kiume kwa sababu Ina madini ya zinc ,Ni kama tikiti maji na mbegu zake au pweza
 
Mtakimbia hadi vivuli vyenu. Mie naogopa kupungukiwa akili coz that is what puts food on my table (apart from paw, ofcoz)
 
Jamani mimi ni mkulima mzuri wa chainizi na huwa napenda kuzila sana kwani chakula kikiandaliwa bila chainizi pembeni huwa sifurahii mlo huo.lakini nimesikia kuwa mboga hii inapunguza nguvu za kiume ni kweli?

Wewe ndo ungetwambia maana we ndo mlaji

Sasa zimepungua au bado unazo?
 
Jamani mimi ni mkulima mzuri wa chainizi na huwa napenda kuzila sana kwani chakula kikiandaliwa bila chainizi pembeni huwa sifurahii mlo huo.lakini[COLOR="#0000FF"[B][I][COLOR="#FF0000"]] nimesikia[/COLOR] [/COLOR][/I][/B]kuwa mboga hii inapunguza nguvu za kiume ni kweli?

Makosa yako mawili uliyo yafanya ni hayo niliyoa ainisha...mkuu mie naona hapo umetupiga fiksi mchana kweupeeee.
 
jamanih apo nakohoa kidogo oho ohoo ooho ooho ohooo ooohoo oohoooo ooohoo ohooooo oooooohohoo okhoo vya uwongo! kabhhhisaaaaaaaaa,lakin huwedhi juuwaha.
 
Inasemekana pia hatA maharage yanapunguza ram speed/nguvu za kiume
 
Tuliopo Mpakani Kiasi Kwamba Malawi Naiyona Tutaipataje Iyo Dawa?
 
Back
Top Bottom