Kwan Katiba Ya qutom-bana, Inatulimit Tupige Magoli Mangapi?
Wakuu nilipata PM nyingi kutoka kwa wale ambao walikuwa na matatizo hayo au wale ambao ndugu zao au rafiki zao hawako humu JF.
Ni hivi, yule bibi mtaalamu wa tiba hiyo ambaye nilianza kumtafuta toka 2011 ambapo nilitoa post yangu nimempata na kwa sasa hiyo dawa ingawa ni kwa uchache ninayo na ambaye anaihitaji anaweza kunipm bei yake ni nafuu Tsh 30,000 kwa dozi. Pia naomba wale ambao itawasaidia watoe ushuhuda hapa lengo si kufanya biashara bali ni kusaidiana kutatua tatizo ndio maana nimekubali kumtafutaili huyu mama ambaye kwa sasa anaishi NAMPULA. hili jina la IGP nimelipachika mimi kwani ni mchanganyiko wa unga wa miti ya aina nne tofauti, hivyo mwenyewe bibi hana jina la dawa
Ninayofuraha kuwahakikisheni kuwa nimeihakiki ni dawa nzuri mno ingawa inahitaji uvumilivu kwa siku 7 mpaka 10 kutokana na nguvu yake kuchosha mwili.
Huu uzi nilikusudia kuuweka JF doctor, naomba mods muuhamishie huko.
Mkuu nimeitoa namba kwa pm lakini kwa kuwa lengo ni kusaidianatupia basi mawasiliano mkuu
Wakuu wana JF naomba kuwafahamisha kuwa ile dawa nimeipata kwa uchache hivyo
siendelei kupokea tena maombi kwani ni dozi ya kuwatosha watu kama 15 tu ambao
tutaomba walete mrejesho hapa jukwaani kwa watakaopenda kufanya hivyo.
:thumbup: 0713297066/0765377506
Mkuu kwa kuwa sio biashara rasmi ni wao ndio wanaotakiwa kunielekeza namna yaKwa watu wa mikoani tutaipataje?
Mkuu kwa kuwa sio biashara rasmi ni wao ndio wanaotakiwa kunielekeza namna ya
kuwatumia, lakini ni hapo nitakapotoa uzi wa kupatikana dawa nyingine maana kwa
sasa na maombi yaliyopo dawa imekwisha.
Wakuu wana JF naomba kuwafahamisha kuwa ile dawa nimeipata kwa uchache hivyo
siendelei kupokea tena maombi kwani ni dozi ya kuwatosha watu kama 15 tu ambao
tutaomba walete mrejesho hapa jukwaani kwa watakaopenda kufanya hivyo.