Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Kwan Katiba Ya qutom-bana, Inatulimit Tupige Magoli Mangapi?
 
Me napiga cc kama 9 ndio naridhika sasa hii dawa itanisaidia au niendeee kunyosha tu mgongo kama kawaida?

Wakuu nilipata PM nyingi kutoka kwa wale ambao walikuwa na matatizo hayo au wale ambao ndugu zao au rafiki zao hawako humu JF.

Ni hivi, yule bibi mtaalamu wa tiba hiyo ambaye nilianza kumtafuta toka 2011 ambapo nilitoa post yangu nimempata na kwa sasa hiyo dawa ingawa ni kwa uchache ninayo na ambaye anaihitaji anaweza kunipm bei yake ni nafuu Tsh 30,000 kwa dozi. Pia naomba wale ambao itawasaidia watoe ushuhuda hapa lengo si kufanya biashara bali ni kusaidiana kutatua tatizo ndio maana nimekubali kumtafutaili huyu mama ambaye kwa sasa anaishi NAMPULA. hili jina la IGP nimelipachika mimi kwani ni mchanganyiko wa unga wa miti ya aina nne tofauti, hivyo mwenyewe bibi hana jina la dawa

Ninayofuraha kuwahakikisheni kuwa nimeihakiki ni dawa nzuri mno ingawa inahitaji uvumilivu kwa siku 7 mpaka 10 kutokana na nguvu yake kuchosha mwili.

Huu uzi nilikusudia kuuweka JF doctor, naomba mods muuhamishie huko.
 
Tatizo Choo Kuwa Kikavu Mpaka Baada Yahaja Unasikia Kitu Kama Moto Yani Inakosesha Rahakabisa Baada Yahapo Baadae Inatulia Nini Dawayake
 
Wakuu wana JF naomba kuwafahamisha kuwa ile dawa nimeipata kwa uchache hivyo
siendelei kupokea tena maombi kwani ni dozi ya kuwatosha watu kama 15 tu ambao
tutaomba walete mrejesho hapa jukwaani kwa watakaopenda kufanya hivyo.
 
mhh hilo jina IGP!!! Kirefu chake nini mkuu?
 
Wakuu wana JF naomba kuwafahamisha kuwa ile dawa nimeipata kwa uchache hivyo
siendelei kupokea tena maombi kwani ni dozi ya kuwatosha watu kama 15 tu ambao
tutaomba walete mrejesho hapa jukwaani kwa watakaopenda kufanya hivyo.

Kwa watu wa mikoani tutaipataje?
 
Kwa watu wa mikoani tutaipataje?
Mkuu kwa kuwa sio biashara rasmi ni wao ndio wanaotakiwa kunielekeza namna ya
kuwatumia, lakini ni hapo nitakapotoa uzi wa kupatikana dawa nyingine maana kwa
sasa na maombi yaliyopo dawa imekwisha.
 
Mkuu kwa kuwa sio biashara rasmi ni wao ndio wanaotakiwa kunielekeza namna ya
kuwatumia, lakini ni hapo nitakapotoa uzi wa kupatikana dawa nyingine maana kwa
sasa na maombi yaliyopo dawa imekwisha.

Saw a mkuu
 
Wakuu wana JF naomba kuwafahamisha kuwa ile dawa nimeipata kwa uchache hivyo
siendelei kupokea tena maombi kwani ni dozi ya kuwatosha watu kama 15 tu ambao
tutaomba walete mrejesho hapa jukwaani kwa watakaopenda kufanya hivyo.

Mkuu naomba niwe mmoja kati ya hao 15.
 
Back
Top Bottom