Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Bila kusahau kumwomba Mungu yeye ndio jibu la ndoa akumbuke rehema na neema akujalie afya wa mic,nk. maombi nayo yana nafasi kubwa kutatua changamoto zinazomsibu Mwanadamu.

Alikuwepo, yupo na atakuwepo, nilianza nae, niko nae na nitamaliza naye. vitu vyote ni vyake na vinatoka kwake. Yeye ndiye kasema ukila hovyo, ukiwa tipwatipwa na mawazo mengi jogoo halitawika
 
Asilimia ishirini (20% ) ya matatizo ya nguvu za kiume husababishwa na matatizo ya kisaikolojia. Kwa baadhi ya wanaume wenye tatizo hili (na hata wanawake wasiofurahia tendo) ni matokeo ya kifiziolojia yanayoanzia tangu utotoni baada ya KUUMIZWA KIHISIA katika tukio lolote linalohusiana na maumbile ya jinsia kama
· KUBAKWA au kunyanyaswa kijinsia,
· KUONA SEHEMU ZA SIRI ZA MTU MZIMA KATIKA UMRI MDOGO,
· KUSHUHUDIA WATU WAKIFANYA TENDO LA NDOA (hasa wazazi)
· kukua katika familia ambayo mzazi mmoja SIO MUAMINIFU kwa mwenzio na kulijua hilo,
· KISHIKWA KATIKA SEHEMU ZA SIRI, na nyingine nyingi zinazotekea katika umri mdogo
Pamoja na hayo, sababu nyingine za kisaikolojia zinazoweza kusababisha matatizo ya nguvu za kiume ni pamoja na

  1. MSONGO WA MAWAZO (STRESS): hii inaweza kusababishwa na kazi, kukosa hela, matatizo katika ndoa, na mambo mengine.


  1. MATATIZO AU MAGONJWA YA HOFU (angalia post zilizopita kuyajua): inapotokea kua mwanaume anapata tatizo la nguvu za kiume, anaweza kua na hofu iliyopitiliza na wasiwasi kua hali ile itajitokeza tena. Na anapokua na hofu; atakua na wasiwasi wa kushindwa kumridhisha mwenza,hofu ya hatokua na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa (performance anxiety) na hatimaye kusababisha matatizo ya nguvu za kiume


  1. Wakati mwingine matatizo haya husababishwa na hali ya mwanaume KUJIONA MWENYE HATIA (GUILTY) kwa kushindwa kumridhisha mwenza wake.


  1. SONONA (DEPRESSION) : Matatizo ya kua na huzuni iliyopitiliza iliyoambatana na kukosa raha, maumivu ya viungo na kichwa, kukosa usingizi, hamu ya kula (au kula na kulala sana) ni chanzo kikubwa sana cha matatizo ya nguvu za kiume kwani huadhili kemikali zinazomuwezesha mtu kufanya tendo lile. Dawa zinazotumika kutibu tatizo hili pia zinaweza kusababisha matatizo ya nguvu za kiume.


  1. KUTOKUJIAMINI .
Kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume kwa sababu za kisaikolojia, matibabu bila dawa yaani Psychotherapy inahitajika ili aweze kurudia katika hali yake ya kawaida.
SOURCE: https://www.facebook.com/pages/Psychological-Support-and-Mental-health-Awareness/159663587434912
 
Nimekuwa nikipata malalamiko mengi juu ya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Wanaume hawawatoshelezi wake zao au wapenzi wao. Unakuta mtu uume hausimami kabisa but alizaliwa akiwa anafanya kazi vizuri tu. Mwingine unakuta uume unasimama lakini akizunguka mara moja tu hawezi kurudi tena kwa sababu uume hauwezi kusimama tena. Sasa pata suluhisho la matatizo hayo. Kwa kutumia product hii inaitwa MAN EXTRA, yenye faida kuu 9 ambazo ni
1. Boost sex drive and prevent impotence
2. Energize body and relieve fatigue
3. Enhance reproductive function
4. Improve sexual performance
5. Activates the nerve-endocrine system and restore hormone levels to boost sex drive
6. Promotes semen secretion
7. Maintain healthy reproductive system
8. Erectile dysfunction
9. It increases sperm count
Karibu tuliondoe tatizo lako hii product siyo kama viagra kwamba unatumia wakati wa tendo tu. Hii unatumia kwa kipindi fulani ili kutibu tatizo lako na kuliondoa kabisa.
0759077008 AU Whatsapp 0657317631
Karibuni sana.
 

Attachments

  • Man extra.jpg
    29 KB · Views: 510
Imethibitishwa na Nani kua haina madhara? WhO ?
 
Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) imeithibitisha kuwa haina madhara ya sasa wala baadae.
 
kuacha ku2oredhesha nini tumie vyakula kuondo tatzo hili we unaleta biashara nenda kenye jukaa la biashara na sio umu.watanzgnia bana wagum kuelewa.
 
hahahaa, eti 'mtafiti muelewa' :smile-big:
 
Watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa

Watu wanatumia 'ujinga' wetu kujinufaisha

Amka mtanzania,Chakula bora cha asili ,mazoezi,kupumzisha mwili na kutoa hofu na mawazo ndio kila kitu
 

Tutajie active ingredients za hiyo dawa mkuu
 
Habari wakuu natumaini muwazima kabisa, kabla sijaingia kwenye maada niseme kuna watu amabo tumeumbwa kiajabu sana,unakuta mtu anahadithiwa ttz la mwezio lakini badala ya mwenye TTZ kulia huwa analia anaye hadithiwa,sasa hivyo ndivyo nilivyo mim,nina rafiki yangu ambaye tukoo nae shule kitaa kimoja amenieleza matatizo yake nimemuhurumia sana kutokana na istoria yake ya mahusiano na kufika mpk alipo sasa naomba nivae uhusika kama ni mim ili tuweze kuelewana na kufupisha maneno

Nikiwa kidato cha tatu nilikuwa na mpenzi wangu E ambaye nilimpenda sana lakin kumpenda huko kulimpa kiburi na kunifanya mim kama ----- akikosea yeye huwa nilikuwa naomb msamaha mim kwa kuwa alikuwa hataki kukubali kwamba amekosea yeye anapanda hajui kujishusha,hivyo huwa naomba msamaha mim badala yake ili niwe nakaa nae vizri tusigombane kabisa lakin kila siku zilivyokuwa zinazidi kwenda hali ilikuwa mbaya,baada ya kumaliza kidato cha nne niliwahi kumwomba gemu maana tulikuwa tayari tuna takribani miaka miwili toka tumeanza uhusiano wetu lakina aligoma na kusema kwamba hatufanya kitu mpk nimuweke ndani nilimbeleza sana lakinikuona dalili nkajaribu kumfanyia supries yaani aje nyumbani lakini alikataa alidai kwamba yy ni bikra hivyo nilimuacha baadae alikwenda DSM ndipo huko akabadilika sana na kufikia kuniiita mwanaume nisiye ridhika nilimpenda sana sikutaka kumwacha nilimvumilia sana maana nilimwaidi nataka kuja kufunga nae pingu za maisha baadae maji yalinifika shingoni maana nilikuwa naona namaliza vocha zangu na muda wangu mwingi kupalizi UA ambalo haijulikani litakomaa lini nikamuacha hapo ndipo nilipoanza mchezo wa punyeto maana niliyempenda alikua ahataki kunipa tunda

lakini kipindi nafanya hivyo nilikuwa na mademu wengine ambao mim siku wapenda ila nilikuwa nao tu kwa sababu nilita napata muda wa kuongea nao siku nikiwa na mawazo sana walikuwa kama watutu hivi wakati tukiwa tunachati nilikuwa siwambii maswala ya ngono kwa sababu nilikuwa najua nikitu kisichowezekan kwakuwa walikuwa mbali na mim hivyo mkombozi wangu alikuwa ni nyeto,ni miaka sasa imepita na kila kona ninayopita na ona habari za watu wakizungumza habari ya kukosa nguvu za kiume wengine wanasema kuwa inatokea baada ya mtu kujichua sana na mim nipo hapo maana nina zaidi ya mika 4 nafanya hii kitu na kila nikipiga nyeto huwa sekunde 10 tu bao lishatoka je sasa juzi nimepata mpenz nampenda sana lakin nahofia nisije kwenda huko nkajiiabisha nkafika huko nkamchafua mtoto watu sijampa kitu kinavyotakiwa ushauri wenu

Mimi nilishindwa kumshauri maana sijui hata wap pa kuanzia
 
Mwambie kwanza ajue kutofautisha imagination na reality. Ili kujua anaupungufu ni lazima atoke kwenye imagination zake aingie kwenye reality. Asiogope kujaribu Kuna vidume vinapiga nyeto na bado viko vizuri in 6*6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…