We ni muumini wa CHAWAPUTA? Kama ni ndio fanya kuacha haraka sana
Pia kama ni muumini wa picha za pilau aka picha za blue, punguza kuziangalia
Chukua punje Kama tano za kitunguu swaumu,chukua karanga mbichi ujazo wa kiganja kimoja,Twanga kisha chuja upate Juice yake Kunywa,
Ukimaliza tafuna kipande cha Muhogo ,baada ya hapo kula na muwa kidogo, then kafanye mambo yako Jibu ulete hapa hapa javini,
Nb malipo ya tiba nilio kupa hapa ni ww kuleta mrejesho Jamvini hapa.
Unajua watu wengi hawaelewi kuwahi kufika kileleni sio tatzio la nguvu za kiume, bali tu ni uwezo wa kushindwa kuhimili mikiki ya michezo na hi inatokana na hisia za karibu, sasa kama utashindwa kuenda roundi nyengine baada ya moja hapo ndio tutasema una tatizo hilo
Nawe Unawahi Kumwaga?
Huo Mchanganyiko Ni Kwa Yule Hasiyesimamisha...Yaana Kwa Anayetaka Kuongeza Minyege, Kumwaga Haraka Tatizo Ni Ww Mwenyewe
Ahsante Jigo
Naomba msaada please wa njia asilia wa kupunguza/kutatua tatizo la nguvu za kiume hasa kuwahi kufika. Ahsante
Kuwahi kufika mara nyingi ni kuanza kulegea kwa mishipa hapo chini fanya kegel exercise kwa kuanzia jaribu kukuojoa halafu bana kabla hujamaliza sasa utakuwa unaujua huo mshipa fanya hivyo kama mara kumi kwa sekunde kumi kila siku. Pili fanya mazoezi ya viungo ambavyo itaaimarisha misuli kama pushi up na kukimbia walau dakika 30 kwa siku tatu kwa wiki. Tatu pata lishe bora balance diet na maji mengi unaweza kuongeza kwenye mlo wako mayai ya kware, matunda ya kutosha na siku moja moja blue berry, apple, tikiti maji na matango na vile vile unaweza kuongeza multi vitamin ya mmea unaitwa Ginsomini ambavyo utakunywa kwa mwezi halafu njoo hapa ulite mrejesho baada ya mwezi.
Naomba msaada please wa njia asilia wa kupunguza/kutatua tatizo la nguvu za kiume hasa kuwahi kufika. Ahsante
Dr hili tatizo mbona linazidi siku hadi siku.........itakuwaje sasa.......?......
Naomba msaada please wa njia asilia wa kupunguza/kutatua tatizo la nguvu za kiume hasa kuwahi kufika. Ahsante