Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Chukua punje Kama tano za kitunguu swaumu,chukua karanga mbichi ujazo wa kiganja kimoja,Twanga kisha chuja upate Juice yake Kunywa,
Ukimaliza tafuna kipande cha Muhogo ,baada ya hapo kula na muwa kidogo, then kafanye mambo yako Jibu ulete hapa hapa javini,

Nb malipo ya tiba nilio kupa hapa ni ww kuleta mrejesho Jamvini hapa.

ha ha ha ha haaaaa ndugu yangu hii imethibitishwa na Dk. Kufaru au!?
 
Unajua watu wengi hawaelewi kuwahi kufika kileleni sio tatzio la nguvu za kiume, bali tu ni uwezo wa kushindwa kuhimili mikiki ya michezo na hi inatokana na hisia za karibu, sasa kama utashindwa kuenda roundi nyengine baada ya moja hapo ndio tutasema una tatizo hilo

Uko Sahihi Chief
Hapo Ni Kucheza Na Akili Tu
Kama Huyu Jamaa Kelibobo Yake Inadinda Bila Tatizo, Anitafute Nimpe Techniq
Ahsante Jigo
 
Mkuu KASEHUYE nangoja mrejesho

Nawe Unawahi Kumwaga?
Huo Mchanganyiko Ni Kwa Yule Hasiyesimamisha...Yaana Kwa Anayetaka Kuongeza Minyege, Kumwaga Haraka Tatizo Ni Ww Mwenyewe
Ahsante Jigo
 
Last edited by a moderator:
Nawe Unawahi Kumwaga?
Huo Mchanganyiko Ni Kwa Yule Hasiyesimamisha...Yaana Kwa Anayetaka Kuongeza Minyege, Kumwaga Haraka Tatizo Ni Ww Mwenyewe
Ahsante Jigo

Mi nasimamisha lakini mchanganyo huo umeniongezea uwezo wa kupiga mechi mpaka tuna farijika na mwenzangu.
 
Naomba msaada please wa njia asilia wa kupunguza/kutatua tatizo la nguvu za kiume hasa kuwahi kufika. Ahsante

ni pm mkuu nikulekeze cha kufanya uweze kupiga hadi goli sita hiko kitu nikikuelekeza leo kesho kutwa tatizo limeisha kabisa gharama ya maelezo hayo ni tsh elfu 5 tu
 
Zoez na vyakula ndo nmpango mzmaaa ucpende kula manyamanyama>>kula mboga za majani dona na vitu asilii
 
Waweza jitathimini aina ya milo utumiayo, lkn pia jitahidi kufanya mazoezi ya viungo vya mwili ukiambatana name kupunguza msongo Wa mawazo (Ambalo ni tatizo kubwa kwa vijana wa sasa) vyakula vinavyoweza kukupa msisimko wa msukumo wa damu na nguvu mwilini ni vyakula vya wanga, protin name madin joto mf, mayai asili (inasemekana mayai ya kware ni bora zaid) asali na viungo mbalimbali kama mdalasin, tangawiz, pilipili. Hivyo ni baadhi tu vyaweza kukusaidia
 
Kumbe Unawahi Kupiga Bao Aisee Nikajua Hausimamishi Upewe Msaada
 
Kuhusu kuwahi kufika mapema, Punguza hamu ya kupata raha zaid na jipe muda kumwanzia mdogomdogo kabla ya kumleta kileleni
 
Kuwahi kufika mara nyingi ni kuanza kulegea kwa mishipa hapo chini fanya kegel exercise kwa kuanzia jaribu kukuojoa halafu bana kabla hujamaliza sasa utakuwa unaujua huo mshipa fanya hivyo kama mara kumi kwa sekunde kumi kila siku. Pili fanya mazoezi ya viungo ambavyo itaaimarisha misuli kama pushi up na kukimbia walau dakika 30 kwa siku tatu kwa wiki. Tatu pata lishe bora balance diet na maji mengi unaweza kuongeza kwenye mlo wako mayai ya kware, matunda ya kutosha na siku moja moja blue berry, apple, tikiti maji na matango na vile vile unaweza kuongeza multi vitamin ya mmea unaitwa Ginsomini ambavyo utakunywa kwa mwezi halafu njoo hapa ulite mrejesho baada ya mwezi.
 
Shukrani
 
Naomba msaada please wa njia asilia wa kupunguza/kutatua tatizo la nguvu za kiume hasa kuwahi kufika. Ahsante

JE,UNA TATIZO LA KUFIKA KILELENI MAPEMA?!
Hili ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa,zifuatazo ni sababu na jinsi ya

kutatua tatizo hilo.

1: PUNGUZA WASIWASI NA HARAKA YA KUPATA RAHA NA UTAMU,KUWA MPOLE TU.
Wanaume wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa wataperfom vizuri au vibaya kiasi gani,wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa

watapata raha kiasi gani na wengine ambaowashajijua kuwa huwa wanafika kileleni
mapema,wanakuwa na wasiwasi kuwa watafika kileleni mapema tena.
Tatizo hili mara nyingi linawasumbua wanaume ambao hawana mazoea ya kupeana
raha na utamu mara kwa mara,au wanaume ambao ndio kwanza wameanza mambo ya
kupeana raha na utamu,kwa sababu wanapata raha ya ziada tofauti na wanaume ambao

wana do mara kwa mara ingawa pia kuna wazoefu ambao wanasumbuliwa na hili tatizo.

JINSI YA KUFANYA.
Punguza uoga,wasiwasi na haraka.Kama uoga,wasiwasi na haraka vinasababishwa na kutopeana raha na utamu mara kwa mara,basi jaribu kupeana raha na utamu mara kwa mara

mpaka akili yako izoee kitendo cha kupeana raha na utamu na mashine yako izoee joto la K a.k.a Uke.ila kama wewe ni mzoefu na
unasumbuliwa na tatizo hili la wasiwasi,basi unatakiwa umwone mwanasaikolojia au Daktari kwa sababu nina uhakika watu hao

watakushauri vizuri.

2.FANYA MAZOEZI.
Pia jaribu kufanya mazoezi

ya mwili mara kwa mara kwa kuwa
yanapunguza uoga na wasiwasi na yanaongeza kujiamini na pia yanaongeza stamina itakayokusaidia usicum mapema.

2: ACHA KUJICHUA..
Wanaume wengi tumeshawahi kujichua baada ya kubalehe,wengine wanaacha

kujichua wakishapata wasichana au wakianza kuwa watu wazima.Lakini wapo wanaume wengine kujichua kwao imekuwa
kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.
Wanazidisha kiwango cha kufanya
kwa siku na kuacha hawawezi hata kama wanapenda kuacha.Na kadri wanavyozidi kujichua,ndio misuli ya mashine zao inazidi kulegea na ndio hapo sasa wanakuja kupata tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa kupeana raha na utamu.

Ukitaka Dawa Asiliaya kuchelewa kuwahi kushuhs mapema ninayo
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

Dr hili tatizo mbona linazidi siku hadi siku.........itakuwaje sasa.......?......

Hahaha...vijana wamekuwa magoigoi sana wavivu kuipa miili yao mazoezi ya viungo halafu vyakula wala duni
 
Naomba msaada please wa njia asilia wa kupunguza/kutatua tatizo la nguvu za kiume hasa kuwahi kufika. Ahsante

Haina madhara na ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake.

Wanawake wanatumia Multi maca ili wawe na nguvu,hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kuzaa.

Ina protin nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.

Inaongeza idadi ya mbegu za kiume (spermcount ) kwa asilimia 200 na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri (Mobility)
 
Back
Top Bottom